JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuvunjwa ni moja, tatizo kubwa ni haka ka android nilikopewa kama zawadi na manzi wangu kabla wajanja hawajanitaifisha. Wakati wazee wa intelijensia watakapoanza kutawanya watu, naogopa vibaka wasije kujificha kwangu, maana waliniona wakati na jf saa sita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ka androd kenyewe kakupewa....wakijibinafsisha utasamehe kama ulivyosamehe waliomtaifisha huyo manzi wako
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ka androd kenyewe kakupewa....wakijibinafsisha utasamehe kama ulivyosamehe waliomtaifisha huyo manzi wako
Afu utaionaje sasa! Maana entertainment pekee niliyobakiza hapa duniani ni kukutana na watu kama ninyi baada ya saa sita usiku. Ninahakika wakinitongoa hiki kidude na mimi naripoti kwa baba.
 
Back
Top Bottom