Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena unajua bby mti wenye miba haupigwi mawe.
Tunapigwa mawe sisi kisa penzi zito sweetie.
wanaume wachepukaji wana maneno matamu kuliko asali ( naogea na simu jamani,msininukuu vibaya)