JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Naona mnaanza kunichoka,
Siku si nyingi mtaniimbie ule wimbo wa 'fungeni milango anakuja'[emoji18] [emoji18] [emoji18]
Hahaha huyo wa kukuchoka hajazaliwa kwakweli[emoji40]
Wewe kila siku Uu mpya kama ile divai ya Yesu kwenye harusi ya Kana[emoji39] [emoji125]
 
Back
Top Bottom