Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliamini utapaganda hapo ndomana nikatega sikio fulsa haichwi salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliamini utapaganda hapo ndomana nikatega sikio fulsa haichwi salama
Hapana huyo KK ndo alikua anakupiga madongo asa sijui hasara ipi usemayoUjue sikuamini macho na masikio yangu, kweli KK kalamba galasa kwa huyu shemejie [emoji12] [emoji12] (sio mimi ni usingizi wa bando la mwezi)
Chonde chonde mkuu,nje kuna popobawa [emoji12] [emoji12]
Hivi hadithi ya popobawa ilipoteleaga wapi?
Kumbe alitakiwa kunifundisha kubet....kweli nina bahati mbaya ya kukimbiwa na walimu wangu.Unaona ulivyo msahaulifu, me nikafikiri saiv mnakaribia kumaliza mafunzo ya Kubet, kumbe hata kuanza bado[emoji40]
Hakusingiziwa alifanya uchochezi mkubwa tuNaona unasingiziwa hafu unacheka tu
Na alivyo mjanja leo hayupo baada ya kuwasha moto ha ha haaaKumuita aje hapa kujibu tuhuma hapana aiseeh siwezi naogopa kumpoteza jirani yangu
Nimuoga sana kujieleza mbele ya hadhira.
Hahaha huyo wa kukuchoka hajazaliwa kwakweli[emoji40]Naona mnaanza kunichoka,
Siku si nyingi mtaniimbie ule wimbo wa 'fungeni milango anakuja'[emoji18] [emoji18] [emoji18]
Umeona eeeh ndo nnacho furahi hicho ha ha haaaaMkuu, kuna vitu unasingiziwa mpaka unaamua ucheke tu, sababu mpaka shetani mwenyewe kaninong'oneza hajawahi kuona mtu anasingiziwa kwa kasi namna hiyo[emoji40]
Hahaha na ukiwakumbuka lazima waje kukufanyia sensa[emoji40]Chonde chonde mkuu,nje kuna popobawa [emoji12] [emoji12]
Hivi hadithi ya popobawa ilipoteleaga wapi?
Tatizo bado anatamani zile balimi ndomana hataki ashutumiwe kua ndo mhusika mkuuEwaah nimejaribu kumwelewesha lakini hataki kunisikia kabisa, bora useme wewe mkuu, na mimi nipone[emoji123]
Hahaha mkuu ulishastaafu nini?Unaniunga mkuu ohooooo
Nashukuru kwa hilo,basi nikiwaomba mnifundishe msinikimbiege[emoji12] [emoji12]Hahaha huyo wa kukuchoka hajazaliwa kwakweli[emoji40]
Wewe kila siku Uu mpya kama ile divai ya Yesu kwenye harusi ya Kana[emoji39] [emoji125]
Aisee, kumbe ndo mana mashambulizi yanakuja kwa kasi namna hiyo, asante kwa kunitoa tongotongo mkuu.Tatizo bado anatamani zile balimi ndomana hataki ashutumiwe kua ndo mhusika mkuu
Huyo wa kwanza huyo ndo kaburudisha vilivyoDah! Kwa hisani ya mwanamuziki gani yule sijui anaimba mnanda au mchiriku? Somebody sholo mwamba au MSAGA SUMU
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe ndo kiboko yao eeh!Hahaha na ukiwakumbuka lazima waje kukufanyia sensa[emoji40]
Usisahau kulala na mkaa chini ya mto[emoji3]
[emoji40] [emoji40] [emoji3]Kumbe alitakiwa kunifundisha kubet....kweli nina bahati mbaya ya kukimbiwa na walimu wangu.
Tangu nilivyomuomba anifundishe alipotea, leo ndo kaibuka tena [emoji12] [emoji12]
Nimemaanisha umri tu huko kwingine najua anakutosha mimi ni kaka yake ujueYaan mpenzi wangu unamuita dogo????
Embu mpe heshima yake banah hana udogo huo ujue [emoji41][emoji41]
[emoji39] [emoji39] [emoji85]Nashukuru kwa hilo,basi nikiwaomba mnifundishe msinikimbiege[emoji12] [emoji12]
Bado sana hii kazi hua haistaafishi bali ujuzi unaongezeka tuHahaha mkuu ulishastaafu nini?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe ndo kiboko yao eeh!
Ila mimi sikuwahi kuamini hizo porojo za popobawa