kitotochaMama
JF-Expert Member
- Feb 1, 2026
- 235
- 437
๐ป Ndio maana nakupendaga mubaba wangu mzuri.. nimaisha miss kulalia fifuani .. nikune kune na kitambiHakuna mwindaji anayeogopa damu kwenye kisu chake ๐ we niletee kinyama hicho nikile ๐
We kibaba baba na kimama mama, umeniinjoi sana, kasoro vikojoleo vyetu tu kukutana, usinikane... tokea hapo mdomo wangu haujawahi kukiss lipsi nyingine zaidi ya zako.. leo hii unanikana atoto, sawa, mungu atanilipia ๐๐คฃ, tena kwa kunitusi mie NDIZI MZUZU yangu ni USED SPARE PART.. wakati we unajua haijawahi kuchovya popote hii..Hebu usinikuze tafadhali๐คฃ
Daaah, kwamba gobole nini?Kwani ujanani nimetoka lini bado kijana, na sijapoteza UVULANA wangu mimi ni MVULANA mwenye UVULANA wangu, GOBOLE langu ni linasafishwa kisha linahifadhiwa vizuri, halijatumika Kumwagilizia mtu risasi bado.
GOBOLE bado ni new kabisa, halijatumika kuua hata nzi!!Daaah, kwamba gobole nini?
View attachment 3539018
Bora wapo waliotongoza wakee zao humu shehe wakakutana nao.lodge na upendo ukaendelea acha hii jfJamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana
Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake
Kuweni makini sana.
Wallah wewe huna midevu nime beti vizuri๐๐๐ Shauri zenu, wengine wana miandiko mizuri kumbe wana mindevu
Kwahiyo 50,000 unapokea au?Kaja kuniharibia biashara kabisa๐ญ๐ญ๐ญ
Ila bora nusu shari kuliko shari kamili๐คฃ
Kumbe na kumfyonza fyonza ushafanya, huyu mbona kama anastahili unipe bure tu ๐คฃHebu usinikuze tafadhali๐คฃ
Hapana๐ญ๐ญKwahiyo 50,000 unapokea au?
Muongo huyo, hata sijawahi kumgusa๐คฃ๐คฃKumbe na kumfyonza fyonza ushafanya, huyu mbona kama anastahili unipe bure tu ๐คฃ
Humu kuna vituko ๐ ๐ ๐Safi mrembo wangu, unakuja ghetto baadaye?
Nakupokea unavyokuja ๐ !Humu kuna vituko ๐ ๐ ๐
Punguza ukorofi Mjukuu ๐Teh.
Hayo ndiyo maneno Mjukuu ๐We tulia uone navyocheza, ntakufurahisha babu๐
Kwa nini nisitongoze jf?Na kwanini utongoze JF?
Sana aiseee....Unawapelekea moto hivo hivo, utakuta wanawashwa
Tongozo ni kokote kuleNi sahihi kabisa kwa kuwa JF sio dating site, ukitongoza hapa ni matumizi mabaya sana ya tongozo lako