JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

Hebu usinikuze tafadhali🤣
We kibaba baba na kimama mama, umeniinjoi sana, kasoro vikojoleo vyetu tu kukutana, usinikane... tokea hapo mdomo wangu haujawahi kukiss lipsi nyingine zaidi ya zako.. leo hii unanikana atoto, sawa, mungu atanilipia 😂🤣, tena kwa kunitusi mie NDIZI MZUZU yangu ni USED SPARE PART.. wakati we unajua haijawahi kuchovya popote hii..
Unanishusha thamani ili upate hela ya MAREJESHO, mungu atanilipia😭😭
Haya nipige bei ya jioooni, upate rejesho, ustirike
😂🤣🤣
 
Kwani ujanani nimetoka lini bado kijana, na sijapoteza UVULANA wangu mimi ni MVULANA mwenye UVULANA wangu, GOBOLE langu ni linasafishwa kisha linahifadhiwa vizuri, halijatumika Kumwagilizia mtu risasi bado.
Daaah, kwamba gobole nini?
download.gif
 
JamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana
Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake.

Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake
Kuweni makini sana.
Bora wapo waliotongoza wakee zao humu shehe wakakutana nao.lodge na upendo ukaendelea acha hii jf
 
Ni sahihi kabisa kwa kuwa JF sio dating site, ukitongoza hapa ni matumizi mabaya sana ya tongozo lako
 
Back
Top Bottom