JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

Imagine unakutana na jamaa ana masharubu wakati ulidhani ni pisi kali kwa nini usikimbie 😁😁
Unakimbia vibaya mno! Waongo hawa umesimama zako na kipendo chako cha njano na blauzi ya kijani mtu kajibanza anakuzoom kwa mbali unashangaa simu haipokelewi🤣🤣🤣

Ata sisi tunaogopa kukutana na vitu vya ajabu🤣
 
Kwa maana ya love connect au mapenzi, hapana

Humu nampemda mkaka 1 tu na namfaham 🤣🤣🤣bt kitambo sn ni id maarufu na sshv haingii sidhani
Sasa kwanini binti sayuni mwenzangu unajiweka mbali na mapenzi😂 utakosa mme shauri yako!

Huyo mkaka anafahamu kama unampenda ulikutana naye wapi mpaka mkafahamiana?nachukua ujuzi🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…