makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
We tulia uone navyocheza, ntakufurahisha babu😅
Ipi sasa mzee..Njoo pande hii!!
Heee nimefanayaje tena shemeji mtu asiwe huru 😆
Unaonekana mwoga tu, haya maisha hayataki woga!!Ipi sasa mzee..
Sasa nimefanya nini mzee wangu😂Unaonekana mwoga tu, haya maisha hayataki woga!!
Jitafakari....Sasa nimefanya nini mzee wangu😂
Hebu nipe code nianzie hapo..Jitafakari....
Hadi hapo umeshafeli mtu wangu!!Hebu nipe code nianzie hapo..
Nina mashaka sana na ELI COHEN sijui kwanini, uandishi unashabihiana kwa 79%Tongozaneni tu wenyewe kwa wenyewe, mje mtusimulie yatakayojiri!
Red black secretarybird kutoka kuitwa mod hadi kuitwa bibi kizee wa tulin, lifes crazy😂😂Nina mashaka sana na ELI COHEN sijui kwanini, uandishi unashabihiana kwa 79%
Hebu mtongoze huyo mkuu tujue kama ni KE kweli 😁.Red black secretarybird kutoka kuitwa mod hadi kuitwa bibi kizee wa tulin, lifes crazy😂😂
Iko namnaRed black secretarybird kutoka kuitwa mod hadi kuitwa bibi kizee wa tulin, lifes crazy😂😂