JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

Karibu jamvini mkuu, mimi nilikuwa guest kwa miaka miwili 2009/10 mpaka nilipofungua akaunti Septemba 08, 2011.
 
Hata mimi nimejoin leo Kwa kweli JF wametuweza
 
Yaaani ni kweli Serikali ya CCM imeshindwa kuwamata hao Wahalifu au ni danganya Toto Tu??? Hatuko salama kabisa
 
Ndio alafu utakuta mtu anakulazimisha kuamini anachokiamini yeye wakati wengine sie ni wasomaji tu. Utasikia una akaunt nying sijui nini
 
Kwamba sasa hv JF huioni kama guest au, mbona kuna nyomi ya wageni?
 
Safi sana sisi tunasumbuka huku nyie mnatusoma tu. Afu mimi nawashauri pia kama mtu hachangii mada anambiwa sorry hatukuruhusu usome bila kuchangia mada mda wa mwezi mmoja.
 
Nenda kawashtak kwa bwana masauni mzanzibar
 
Karibu Sana huku ambapo wenyewe wanapaita ni Homu Ofu Greti sinkazi
Ni kinywaji gani unatumia ili niwe nakuandalia mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…