Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Elezea hapa Kwa kina
Mapenz ni kujitolea yanahitaji urelax pia sio ubishi wala ujuaji hawa huwa hawajal hisia za wengine,hawana juhudi wala kujitolea,wengine hata kutoa muda kwa watu wao hawawezi,wazee wa kuchambua kila kitu ni nadra mwanamke kupenda mtu wa type hii mwisho wanaumizwa wanakuja hapa kuleta makasiriko
 
Unajua nini??
Tukisha mwaga tu....
Ndipo fahamu zinaturudia.....kama nilikuwa nakuona mzuri,,,ghafla nakuona ni kidampa tu.....
Sasa kama ulikuwa unanisumbua na nikakugharamia hapo ndio naanza kujuta na kujiona mpumbavu hapo hasira zinapanda.....
Matokeo yake ndio vile
 
😂🏃🏽‍♀️ huwa najizuia, ila hawa vijana wa humu wamezidi, hebu muwashauri!
Hawa wadogo zangu hawana hela huwa wanaishia kulalama sana mimi nawaambia kila siku watafute hela hawataki picha liaanza hawana good care kwa wake zao wanaishia kuwagombeza kila day hawawezi kuishi na wanawake hawa majanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…