Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Hapo inamaanisha ulimtamani na siyo kumpenda.
Nyie mnaoangalia matako makubwa na vifua nahisi ndiyo huwa inawatokea sana hii.
 
Hawa wadogo zangu hawana hela huwa wanaishia kulalama sana mimi nawaambia kila siku watafute hela hawataki picha liaanza hawana good care kwa wake zao wanaishia kuwagombeza kila day hawawezi kuishi na wanawake hawa majanja
Kabisa, vivulana vinazingua.

Mwanaume anajua kwanza inabidi afanye kazi, ajiimarishe kiuchumi, malalamiko hayatamsaidia.
Na mwanaume wa kweli anajua kumhudumia na kumjali mkewe, ukishamudu hayo mapenzi utayaona matamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…