Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Zamani niliamini wanaume hawaumii mala ya kwanza kuona mwanaume analia nilishangaa
Pia nilidhani wanaume wana akili sanaaa heh nikaja kugundua wengine ni wajinga kupindukia🙌
Madhara ya mila potofu hayo. My brothers vingereza viingi, vitendo na tabia hamna kitu. My sisters very humble but matokeo ya performances zao shuleni na makazini ni very satisfactory. Ndo maana huwa nachoka sana kuona watu wana judge wengine kwa misingi ya kijinsia.
 
Nakupenda namna yako ya ku-comprehend mambo.

Kwenye masomo ya gender, kuna usemi tunasema sisi sote ni victim wa Patriarchy , ikimaanisha si wanawake tu hata wanaume… It’s deeper than we think.
 
Umenena 🙏
 
Hapo mwishoni hapo……

Huku kwenye ulimwengu wetu, kuna msemo unasema let the men forgive, maana yake tuwaache wanaume wasamehe… Ila sisi hatupaswi kusamehe… Msemo huu umetokana na tafiti kwamba makosa ya wanaume yamekuwa yakienda unpunished, yakifutika kiujanja ujanja tu mara nyingi, kwa kuamini kuwa tunapaswa kuwabadilisha kwa empathy.

Wakati huo huo makosa ya wanawake ni very noticeable, atakuwa punished hata verbally tu mfano kwenye familiy level, nyumba za ibada au mtaani ilimradi tu we can’t get away with our mistakes . Wanawake hawahitaji empathy, proper education na times?

Okay, maelezo/mifano yangu midogo ila inalenga kuonesha unfairness hata pale ambapo we expected things will be fair.. Na ndipo nilipojenga hoja yangu kuhusu “mabadiliko ya kijamii”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…