Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Kama 😎ni ee wanawake ni wazuri sana na watamu 😎😎😎...enyewe hapa ningepata karembo fulani hivi Petite na ngozi ya Melanin walahi lazima nikatoe sadaka ya kuteketezwa kwenye mizimu ya Kwetu ya kimakondeπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mabinti wa sasa hivi wanawajua mlivyo Malaya.... Hamna mapenzi ndio maana hamna hamna kaomba hiyo 150k ukimpa mkapeana wewe utajisifu umeshamla na ni Malaya ,,, na yeye atijipoza na 150k kiroho safi atafanya yake
Wazungu wanasema β€œa win win situation” πŸ˜‚

Classmate huyu ngosha si alioa siku ya Valentine day au siyo yeye 🀣
 
ACHA nisome Comment.... Mi enyewe nilipigwa tukio lakini ,,kosa ni langu la kushoboka na Bar Maid... So nikajifunzaga sio kila mwanamke wa kushoboka.. so mimi ni SHOBO zangu ziliniponza..😎😎😎😎
Ulishoboka,,, siku nyingine usirudie maana hakunaga mapenzi kwenye shobo. Bora wewe uliyejua kosa lako
 
ACHA nisome Comment.... Mi enyewe nilipigwa tukio lakini ,,kosa ni langu la kushoboka na Bar Maid... So nikajifunzaga sio kila mwanamke wa kushoboka.. so mimi ni SHOBO zangu ziliniponza..😎😎😎😎
Ulikua unataka nini kutoka kwa huyo barmaid mpaka ukashoboka?
 
Katoto kalikataa kuwa kake kako mkuuπŸ˜…
 
Yani inshort hatuna pa kupumulia😀
Ukiwa single maza kesi, ukikaa bila kuzaa umri unaenda leleleleleeee!!!!!

Watayumbishana wenyewe kwa wenyewe uzuri siye tuna msisimamo yetu!
haswaaa, miaka ya zamani wadada walikua na nidhamu ya uoga unakuta anafanya jambo kwa ajili ya kuifurahisha jamii ila saivi tushajitambua,, mijitu yenyewe hairidhiki yanini kuanza kulazimisha uishi maisha ya mateso waache tujitafute tuishi maisha ya ndoto zetu, kama wao ambavyo hawataki kuoa na sisi hatutaki stress zisizo na maana
 
Dadangu naona umechachuka kweli kweli sijui ni nani amekukamulia ndimu πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…