Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=


Wewe mzalendo endelea kuitumikia Tanzania kwa moyo mkunjufu.
 
Mimi nadhani ungelewa ndio unge-vibe nao yaani ungeona hapo ndio unyama zaidi
 
Bilashaka ndo hivyo,wakiweka bei sawa na sehemu za kawaida,hata wakwapua simu,waleta vúrugu na watu wengine wasiowastaarabu,watajazana humo,dawa ni kupandisha bei vitu,ili watu tujichuje kutokana na vipato.
Na ndo maana nkarudi zangu kwa mtogole mkuu...ukishajua mipaka Yako unaweza kuishi na yyte na popote
 
Ukija Far usikubali kwenda Wavuvi camp, hapo bill za million, million 5 NI kawaida Tu na watu wanalipwa cash.

Chupa kubwa la Hennessy wanauza laki nane, ukipelekwa pale na mataita kupewa offer unaweza ukaona watu wanaharibu pesa Bora Ile gharama ya vinywaji vyako wangekupa cash ukapunguze shida zako.

Dunia ndio ilivyo, ila maisha ya Wabongo wengi ni Jehenamu.
 
Ni kweli aisee, na Mimi nipo kwenye kundi la hao maskini na mshahara huu wa laki 5
 
Ulishindwa kwenda kwenye Bar zenu za uswahilini pale juu Big bites ,kilimahewa na Kwa mtaa Lema hapo kona ya Bwiru ?
Kimbelembele chako kwenda classic venues kama " The cask " wakati unajua pale wanaenda watu wenye mawe wa kansa ya ziwa ,utakuta wavuvi ,wachimba madini nk wamekuja kuspend maokoto yao na wewe ukaenda kichwa kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kisehemu chenyewe mbona kimekaa ki local local tu hakina standards?
Mwanza mkoa wetu huu ,viwanja vya kishamba sana bado , too local
Sijaona viwanja vya maana huu mkoa ,na nimezaliwa na kukulia hapa
Zamani kidogo Villa park alikimbiza pande hizi , siku za nyuma hapo kulikuwa na kiwanja kiko nyasaka ,panaitwa Bundesliga nadhani ile bar
Anajitahidi ila bado .
Mwanza upande wa starehe bado pa kishamba sana
 
Kisehemu chenyewe mbona kimekaa ki local local tu hakina standards?
Sema sasa utakuta bei ni kama za viwanja vya starehe Dar
Wasukuma na umburula wanamwaga minoti tu .
Ma Don WA dhahabu , samaki na pamba hawana kwere
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
" Nduhu tabu , kinehe mola
Mwamishaga baba "
 
Cask ni sehemu ya kimasikini sana mm huwa siendi hapo hata kidogo, ilikuwa zamani. Maeneo yangu ni Club elevate, Kwa tunza na tilapia nikitaka kupata usingizi na my wangu
Viwanja vingi Mwanza vya kichovu sana
Mi naona Dar wako mbele sana kwenye suala na internainment na recreation business ,vitu kama bar ,night clubs nk
Mwanza kwetu bado kwa kindezi sana
 
Ungeuliza hata andazi dogo, hela hiyo ingetosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…