Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

Hivi ya 50000 na ya 10000 zinatofautiana kilevi?au ndo mjinga ndo aliwae?hata kama Una pesa,kitu cha buku unauziwa 15000 na we unatoa hela huku unakenua tu.kesho unataka rushwa na kumuibia mtanzania masikini ili uzipeleke tena bar.
Uwekezaji unatofautiana Mkuu. Kuna maeneo hiyo 50,000 inaweza kuwa ndogo. Ukiona bei huiwezi hapo Sio Kwa level Yako.
 
Uwekezaji unatofautiana Mkuu. Kuna maeneo hiyo 50,000 inaweza kuwa ndogo. Ukiona bei huiwezi hapo Sio Kwa level Yako.
Sahihi Tena hapo maji elfu 4 wamemuuzia bei ya kutupwa aende hoteli za nyota Tano aone mziki wake maji yanasoma Kwa Dola unaambiwa Dola 6 ukibadili Kwa Hela za Tanzania ni elfu 12 Kwa chupa ya maji usione watu wengi wanapita tu hayo.maeneo hata hicho tu hawakodoi wanajui hapaingiliki
 
Usiige maisha wala kutaka kujilinganisha na mtu mwingine.....Maisha ni Siri kubwa kuhusu swala la kupata hela Kila mtu ana mbinu zake za kupata hela ni ngumu Sana kuuziwa silaha zote za mtu(Mbinu za kupata hela)

Pambana , pambana,pambana
Hili kosa nilikuwa nafanya zamani kujilingasha na wengine wakimiliki nyumba Kali, biashara kubwa,Ndinga Kali,mm hata baiskeli Sina, nilikuwa nawaza lini nitakuwa kama wao,naishia kuwa mnyonge tu.sasa hivi nimekua Naona Kila mmoja na maisha yake.
 
Nilijikuta tu, lengo lilikua kwenda rock city mall nilivyosikia fid q yupo nikaona nikajisoze nikamshangae nilikosea njia mkuu, huko sirudi Tena. Zamani tunza beach tulikua tunaenda kuogelea kiingilio 3000/2000 sasahivi nasikia imekua VIP inaitwa KWA TUNZA.
 

Mawili umetoka mkoani huzi au huna hela. Tafuta hela 4000 ni pesa ndogo mno
 

Mkuu chakula watu 4 na vinywaji 100k unasema nyingi ?
 
Pole sana mkuu sasa hapo penyewe bado hujanunua ata Pussy ya kiwango eti ushaona mambo magumu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ cha msingi jikite kwenye utafutaji wa pesa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…