I see, ukitafakari hii kauli, unaona kabisa jamaa kawaza vema sana. Deep down hizo pesa watu wanatumia hovyo zina siri kubwa sana.Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
Nenda Rock beach kule kwa mia mbili miambili ukajipongeze mirinda nyeusiNilijikuta tu, lengo lilikua kwenda rock city mall nilivyosikia fid q yupo nikaona nikajisoze nikamshangae nilikosea njia mkuu, huko sirudi Tena. Zamani tunza beach tulikua tunaenda kuogelea kiingilio 3000/2000 sasahivi nasikia imekua VIP inaitwa KWA TUNZA.
sema waja mna laana,kwa hiyo mtoto wa mwenzenu achezee muziki nje ya geti kisa ana hela ya mawazo[emoji23][emoji1787]Huyu aende liquor store tu apewe kiti nje ya barabara akae anywe Maji bila mziki, sehemu za starehe mtaumizana tu ataondoka hajala maana mbavu tatu za mbuzi choma ni 50000
heineken buku nane, sisogei kamweUkija Far usikubali kwenda Wavuvi camp, hapo bill za million, million 5 NI kawaida Tu na watu wanalipwa cash.
Chupa kubwa la Hennessy wanauza laki nane, ukipelekwa pale na mataita kupewa offer unaweza ukaona watu wanaharibu pesa Bora Ile gharama ya vinywaji vyako wangekupa cash ukapunguze shida zako.
Dunia ndio ilivyo, ila maisha ya Wabongo wengi ni Jehenamu.
4000 unapata kahaba Riverside unapunguza nyege maisha yanaendelea
Mtumishiiiiiiiiiii Happy New year[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka Mwl wamfikishe mahakamani au aoshe vyombo 😂😂😂😂😂😂Usije kujiloga ukasogelea wavuvi kempu
Hiyo bar wanayo ruhusu kuingia na kinywaji chako ni wapi uko?Mi nikiendaga bar nikijiona hela ya mawazo afu nataka v i p nachukua zangu bapa za elfu 10 tatu natia mfukon nikifika pale naagiza maji ya buku tano afu naweka bapa mezan ukiuliza hizo bapa hapo ndan chupa ni elfu 70 vitatu sawa na laki mbili na ushee bas wana wananiona done kumbe nimetokanazo kitaa kwa buku 30 kauli mbiu yangu ni .2024 maisha ni kujiongeza'
😂😂😂😂😂😂😂Hapana mkuu...mi si kijana wa kondoa....angalia ID yangu huku....nna kitambo hata kabla huyo jamaa hajaijua vizur jeif
Sehemu kama hizo kama wewe ji kabwela inatakiwa unaenda ukiwa full yaani umekuka na kushiba then unaenda kuburudika ata ukinunua maji ya 4000 sio mbaya unakunywa mpaka ahsubuhi.[emoji16][emoji16] Huko sirudi Tena wameshanikosa kudadeki, nitarudi nikiwa na uwezo wa kuchafua meza kama nyie sijui itakua lini lakini nitarudi ku-clear jina langu.
Watu wanapenda tu kuskia mziki mzuri, kuona mazingira mazuri mataa yana waka waka bend inampigia mziki na wafanyakazi wamevaa vizuri wanatabasamu tayar kwa kumhudumia.Huyu aende liquor store tu apewe kiti nje ya barabara akae anywe Maji bila mziki, sehemu za starehe mtaumizana tu ataondoka hajala maana mbavu tatu za mbuzi choma ni 50000
Hizo cost unalipia na mazingira unayopewa hudumaWewe ni shujaa kwa nini ujisikie aibu na huzuni? Ulimbukeni wa kutaka sifa hauna faida yoyote...Eti maji ununue kwa shikingi elfu nne!
BORA ELFU TATU INAYOBAKI NIINGIE MTAANI NIMPE OMBAOMBA kuliko kumpa over profit nyang'au fulani
kwahy we ukienda pale utakua unajionesha umebeba pombe??? kutoka nje kwanza nafs yako haitakusuta?? Nimesema bapa unaweka mfukon haijalish koti kubwa au sulual pana mbona watu tunaenda bar kubwa na beg mgongon na hatuulizwi au sura yako watu wakikutazama wanahis muharifuHiyo bar wanayo ruhusu kuingia na kinywaji chako ni wapi uko?
Yes unaitwa money circulation. Mzunguko wa hela. Tumia hela izunguke kesho ikurudie.Watu wanapiga sana ngono na pombe na still wanajenga maghorofa we unaeionea huruma hela ya guest unaishia kupanga.
Kanuni ya pesa haiendi kwa mtu bahili.
Kipi ni kipimo Cha ujanja kwako?Wewe nawe, inaonekana counter alikuona wewe panyaroad, yaani ukae counter unakunywa maji ya jero? Kweli? Sijui kwanini washamba wote wanapenda cask