Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
-
- #161
HahahaSehemu kama hizo kama wewe ji kabwela inatakiwa unaenda ukiwa full yaani umekuka na kushiba then unaenda kuburudika ata ukinunua maji ya 4000 sio mbaya unakunywa mpaka ahsubuhi.
Kuna siku nilikua malaika beach nikaambiwa wine yq 12000 wao wanauza 45k nikasema hii nikawa nafanya kazi ya kuwachenga wahudumu huku naendelea kula burudani saafi.
Wa hali ya chini anaenda club kufanya nn? Si aende dukani kwa mangi?Pole xana, pia hongera kwa kukubali fedheha na aibu ili usave 4000 yako kuliko kupoteza ela yako ili tu ufiche aibu then badae kuanza kuijutia...kwa maisha ya mtanzania wa hali ya chini kununua maji kwa 4000 ni ukichaa wakati hiyo ela unapata chapati 10 na kikombe cha chai kwa mama lishe, pia hao uliowakuta huko sio wote wanaishi maisha yao halisi wengi tu wanafake maisha so wasikutishe sana!
Daah, ila wew jamaa nakubali sana unapowaambiaga ukweli walimu wenzako. Mpwayungu VillageHuko mbali sana, hata wavuvi camp tu huyu hatoboi. Ni mwalimu huyu kaka
Kuna mchina aligoma kuniuzia saa ya nakshi kwenye ndege. Nikadhani amenidhalilisha....nilipofika Mtaa wa Congo, Dar es Salaam nikamuelewa yule Dada wa Kichina kwenye ndege!!!!Usiige maisha wala kutaka kujilinganisha na mtu mwingine.....Maisha ni Siri kubwa kuhusu swala la kupata hela Kila mtu ana mbinu zake za kupata hela ni ngumu Sana kuuziwa silaha zote za mtu(Mbinu za kupata hela)
Pambana , pambana,pambana
ulimuelewaje hebu tuambie??Kuna mchina aligoma kuniuzia saa ya nakshi kwenye ndege. Nikadhani amenidhalilisha....nilipofika Mtaa wa Congo, Dar es Salaam nikamuelewa yule Dada wa Kichina kwenye ndege!!!!
Bora Mwanza kuliko Mbeya kwa kina ChoiceVariable [emoji1787]Viwanja vingi Mwanza vya kichovu sana
Mi naona Dar wako mbele sana kwenye suala na internainment na recreation business ,vitu kama bar ,night clubs nk
Mwanza kwetu bado kwa kindezi sana
Umejuaje ushafika uko .Vibe la eneo & relaxation yake, wine liqour store ni 13/15,000
Bar classy classy ni elf 30
Melia elfu 50
Na kitu ni hiko hiko kimoja.
YeahUmejuaje ushafika uko .
Bro inafaa siku moja nikupe offer ya out, lkn usijali one day yes.View attachment 2859354
Bado hipo mzee ππ, hapa nawaza niende rock beach nikatulie nikanywe hata mirinda nyeusi.
Naomba udadavue vizuri yaani ulikuwa huna hela au ....?Kuna mchina aligoma kuniuzia saa ya nakshi kwenye ndege. Nikadhani amenidhalilisha....nilipofika Mtaa wa Congo, Dar es Salaam nikamuelewa yule Dada wa Kichina kwenye ndege!!!!
Dolali nilikuwa nayo Tena wakati huo naitwa "Kelele"....sema nilikuwa nimeangukia kwenye trick za marketing officers wa saa za nakshi, yule Dada wa kichina ndiye aliniokoa. Yaani nilitaka kununua muhogo uliochemshiwa Manzese kwa Bi-Nyau na kufungwa kwenye karatasi zenye Nembo ya KFC kwa bei ya nyumba ya Ufukweni Zanzibar.Naomba udadavue vizuri yaani ulikuwa huna hela au ....?
Hv kumbe neno tajiri halina uhalisia ni kiungo tu cha kuchagiza!Ukiwa una hela za kuunga unga kama akina sisi kuna sehem sio za kwenda, utaishia kukaa kinyonge sana tajiri.
Watamtumbukiza baharini π€£Unataka Mwl wamfikishe mahakamani au aoshe vyombo ππππππ
Matajiri hawaitani majina hayo ila sisi wengineo ndio majina yetu matajiri wajaoHv kumbe neno tajiri halina uhalisia ni kiungo tu cha kuchagiza!
Unaweza ukama masikini ukaitwa tajiri kama swag flan hv!
Makoroboi hawapo mzee, then hata hapo cask wazururaji hawakosekaniYaani 50,000 unakwenda CASK kutafuta mwanamke?.
Mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake wewe ikifika usiku nenda mtaa wa Makoroboi utakuta wanawake wa 10,000
Seen.Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu.
Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta nimeingia CASK bar maana nilisikia Fid q atakuepo kwa sababu Mimi ni mdau wa hip-hop nikaona acha nijisogeze nikasikie Ngoma kama bongo hiphop, I'm professional n.k.
Kufika nikakuta kwanza parking magari yamejaa yaani watoto ni wakali sijawahi ona, size zote zipo, class A, wachafu, wazuri yaani ni wewe tu, mluga luga nikasema Leo lazima niopoe nilikua na 50,000/= mfukoni nikasema Leo watanikoma sitakosa mtoto hata wa 20,000/=
Nikanyooka mpaka counter nipate hata wine chupa ndogo Ile ya imagi nizuge nayo huku nikiendelea kuangalia mrembo yupi atanifaa nichomoke nae, huku kitaa hiyo wine Wanauza 3500/= Sasa yule counter hakunisikia vizuri akaleta chupa ya maji akanambia 4000/= chupa ndogo nikamuuliza shingapi? huku nimepigwa na butwaa kusikia hiyo bei ya maji, Pembeni yangu walikua wamekaa mademu wamechafua meza vibaya wamejaza windohek, hennesy n.k yaani waliokua pale counter hakuna aliekua mnyonge, kipindi naleta mshangao nikamwambia yule anaehudumia counter anirudishie hela yangu maana siwezi nunua maji Mls 700 kwa 4000/= wakati hata bombani yapo, kipindi naondoka nikasikia vicheko kutoka kwa wadada na washikaji waliokua counter.
Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.
View attachment 2859139
View attachment 2859140
Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
π€£π€£π€£Watamtumbukiza baharini π€£