Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.

Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani.

Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa nguvu (dochi) urudi sakafuni ili udunde kwa nguvu, ni kama ile ya Gabriel Batistuta.

Sasa ile mara ya kwanza nimejaribu nikaona mpira umedunda kidogo, ikabidi nitumie nguvu kubwa sana kuupiga ulipotua anga za chini, La haula!! niliukosa mpira kidole gumba kikagonga sakafu kwa nguvu sana.

Nilihisi kidole gumba kama kimeingia ndani hivi, Nilianza kusikia maumivu kwa mbali sana nikadhani yatapotea baada ya dakika chache.

Nikaenda kujipumzisha kitandani, hapo ndipo hali ilipokuwa mbaya zaidi, nilihisi mapigo yote ya moyo yamehamia kwenye kidole gumba na maumivu yalikuwa makali mno, mke wangu aliniletea barafu lakini wapi, nilitumia panadol lakini hamna kitu.

Wife akaniacha akaenda sebelni kuwapa kampani watoto basi huo mda ndio niliutumia kukubali tu nimeshindwa kuvumilia yani kwa yale maumivu nililia kama mtoto ndani ya blanketi, ahhh sio kwa maumivu yale, hata nilipoletewa chakula kitandani nilimwambia arudishe tu nikiwa nimeficha uso ndani ya blanketi, ilibidi usiku huo huo niwaombe waende duka la dawa kuninunulia dawa ya usingizi.

Cha kushukuru usingizi ulinipitia, nakuja kustuka ni saa 12 asubuhi na maumivu, kitu cha kwanza kufikiria ni kidole, nkajaribu kukikunja nikaweza japo kwa maumvu ya mbali sana, nilishukuru sana maana jana hata kukunja idole ilishindikana kabisa, yaani hata kukimnya tu ilikuwa ni maumivu.

Mkuu unalia sababu ya kujigonga kidole cha mguu?

Mimi kuna dogo alinizingua basi kwa hasira nikatandika ngumi kwenye nondo ya dirisha mpaka nikavunja mfupa wa kidole cha mwisho cha mkono wa kulia maumivu yake ni kama mtu awe anakukata'kata na kisu. na mpaka leo kidole kimetuna kwa juu na kiliuma miezi kama miwili hivi na sikutumia dawa wala kwenda hospital lakini mpaka leo bado nadunda. Maumivu ya kuvunja mfupa yasikie kwa jirani tu ila sikulia.

Vilevile niliwahi kupiga kiti teke kwa hasira na nguvu zote matokeo yake mfupa wa kidole cha pili mguu wa kulia ukatoka kwa juu ndani ya ngozi nilitembea kwa tabu kwa miezi kama 5 au 6 hivi lakini sikulia japo maumivu yake ni zaidi ya kuungua moto. Kwangu kulia naona ni udhaifu mkubwa sana na nitajiona weak siku nikilia hivyo silii hata iweje. japo wanasema ukilia unapunguza maumivu lakini kwangu NO.

Nilichogundua watu wengi ni dhaifu na weak sana ndani ila nje wanaact tough nashangaa kuna watu wanalia kuhusu mapenzi. seriously mapenzi?
 
Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.

Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani.

Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa nguvu urudi sakafuni ili udunde kwa nguvu, ni kama ile ya Gabriel Batistuta.

Sasa ile mara ya kwanza nimejaribu nikaona mpira umedunda kidogo, ikabidi nitumie nguvu kubwa sana kuupiga ulipotua anga za chini, La haula!! niliukosa mpira kidole gumba kikagonga sakafu kwa nguvu sana.

Nilihisi kidole gumba kama kimeingia ndani hivi, Nilianza kusikia maumivu kwa mbali sana nikadhani yatapotea baada ya dakika chache.

Nikaenda kujipumzisha kitandani, hapo ndipo hali ilipokuwa mbaya zaidi, nilihisi mapigo yote ya moyo yamehamia kwenye kidole gumba na maumivu yalikwa makali mno, mke wangu aliniletea barafu lakini wapi, nilitumia panadol lakini hamna kitu.

Wife akaniacha akaenda sebelni kuwapa kampani watoto basi huo mda ndio niliutumia kukubali tu nimeshindwa kuvumilia yani kwa yale maumivu nililia kama mtoto ndani ya blanketi, ahhh sio kwa maumivu yale, hata nilipoletewa chakula kitandani nilimwambia arudishe tu nikiwa nimeficha uso ndani ya blanketi, ilibidi usiku huo huo niwaombe waende duka la dawa kuninunulia dawa ya usingizi.

Cha kushukuru usingizi ulinipitia, nakuja kustuka ni saa 12 asubuhi na maumivu, kitu cha kwanza kufikiria ni kidole, nkajaribu kukikunja nikaweza japo kwa maumvu ya mbali sana, nilishukuru sana maana jana hata kukunja idole ilishindikana kabisa, yaani hata kukimnya tu ilikuwa ni maumivu.

Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.
Sasa ulikunywa panadol ili utibu maumivu ya kidole mkuu uko sawa kweli ungekunywa IbuMex
 
Usinikumbushe jinsi madole yangu yote yalivyoteguliwa na mpira wa kikapu wakati wa kucollect rebounds
 
Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.

Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani.

Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa nguvu (dochi) urudi sakafuni ili udunde kwa nguvu, ni kama ile ya Gabriel Batistuta.

Sasa ile mara ya kwanza nimejaribu nikaona mpira umedunda kidogo, ikabidi nitumie nguvu kubwa sana kuupiga ulipotua anga za chini, La haula!! niliukosa mpira kidole gumba kikagonga sakafu kwa nguvu sana.

Nilihisi kidole gumba kama kimeingia ndani hivi, Nilianza kusikia maumivu kwa mbali sana nikadhani yatapotea baada ya dakika chache.

Nikaenda kujipumzisha kitandani, hapo ndipo hali ilipokuwa mbaya zaidi, nilihisi mapigo yote ya moyo yamehamia kwenye kidole gumba na maumivu yalikwa makali mno, mke wangu aliniletea barafu lakini wapi, nilitumia panadol lakini hamna kitu.

Wife akaniacha akaenda sebelni kuwapa kampani watoto basi huo mda ndio niliutumia kukubali tu nimeshindwa kuvumilia yani kwa yale maumivu nililia kama mtoto ndani ya blanketi, ahhh sio kwa maumivu yale, hata nilipoletewa chakula kitandani nilimwambia arudishe tu nikiwa nimeficha uso ndani ya blanketi, ilibidi usiku huo huo niwaombe waende duka la dawa kuninunulia dawa ya usingizi.

Cha kushukuru usingizi ulinipitia, nakuja kustuka ni saa 12 asubuhi na maumivu, kitu cha kwanza kufikiria ni kidole, nkajaribu kukikunja nikaweza japo kwa maumvu ya mbali sana, nilishukuru sana maana jana hata kukunja idole ilishindikana kabisa, yaani hata kukimnya tu ilikuwa ni maumivu.

Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.
Nunua salimia, upake [emoji1787] hope wewe ni wa kinondoni
 
kuna ile unatembea unajigonga kidole kwenye pembe ya mlango au meza weeee mim hukaa chini moja moja nalia 😂😂😂
Kipindi Nna ujauzito niliwahi kujigonga tumbo aisee sitasahau mpaka kuhema nilishindwa kwa muda machozi yalitoka yenyewe nikalala na kulala kumpimzika kwanza kisha nikaenda hospital
 
Mkuu unalia sababu ya kujigonga kidole cha mguu?

Mimi kuna dogo alinizingua basi kwa hasira nikatandika ngumi kwenye nondo ya dirisha mpaka nikavunja mfupa wa kidole cha mwisho cha mkono wa kulia maumivu yake ni kama mtu awe anakukata'kata na kisu. na mpaka leo kidole kimetuna kwa juu na kiliuma miezi kama miwili hivi na sikutumia dawa wala kwenda hospital lakini mpaka leo bado nadunda. Maumivu ya kuvunja mfupa yasikie kwa jirani tu ila sikulia.

Vilevile niliwahi kupiga kiti teke kwa hasira na nguvu zote matokeo yake mfupa wa kidole cha pili mguu wa kulia ukatoka kwa juu ndani ya ngozi nilitembea kwa tabu kwa miezi kama 5 au 6 hivi lakini sikulia japo maumivu yake ni zaidi ya kuungua moto.
Kwangu kulia naona ni udhaifu mkubwa sana na nitajiona weak siku nikilia hivyo silii hata iweje. japo wanasema ukilia unapunguza maumivu lakini kwangu NO.

Nilichogundua watu wengi ni dhaifu na weak sana ndani ila nje wanaact tough nashangaa kuna watu wanalia kuhusu mapenzi. seriously mapenzi?
Unapona tu bila kwenda hospital?
 
Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.

Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani.

Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa nguvu (dochi) urudi sakafuni ili udunde kwa nguvu, ni kama ile ya Gabriel Batistuta.

Sasa ile mara ya kwanza nimejaribu nikaona mpira umedunda kidogo, ikabidi nitumie nguvu kubwa sana kuupiga ulipotua anga za chini, La haula!! niliukosa mpira kidole gumba kikagonga sakafu kwa nguvu sana.

Nilihisi kidole gumba kama kimeingia ndani hivi, Nilianza kusikia maumivu kwa mbali sana nikadhani yatapotea baada ya dakika chache.

Nikaenda kujipumzisha kitandani, hapo ndipo hali ilipokuwa mbaya zaidi, nilihisi mapigo yote ya moyo yamehamia kwenye kidole gumba na maumivu yalikuwa makali mno, mke wangu aliniletea barafu lakini wapi, nilitumia panadol lakini hamna kitu.

Wife akaniacha akaenda sebelni kuwapa kampani watoto basi huo mda ndio niliutumia kukubali tu nimeshindwa kuvumilia yani kwa yale maumivu nililia kama mtoto ndani ya blanketi, ahhh sio kwa maumivu yale, hata nilipoletewa chakula kitandani nilimwambia arudishe tu nikiwa nimeficha uso ndani ya blanketi, ilibidi usiku huo huo niwaombe waende duka la dawa kuninunulia dawa ya usingizi.

Cha kushukuru usingizi ulinipitia, nakuja kustuka ni saa 12 asubuhi na maumivu, kitu cha kwanza kufikiria ni kidole, nkajaribu kukikunja nikaweza japo kwa maumvu ya mbali sana, nilishukuru sana maana jana hata kukunja idole ilishindikana kabisa, yaani hata kukimnya tu ilikuwa ni maumivu.

Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.
Pole

Uzi tyr
 
Bila kujali niukweli au uongo nimejikuta nacheka Sana mkuu.Umelia ndani ya blanket [emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Pole sana mwamba.

Ila nimecheka sana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaan mfupa utoke nje ya ngozi ukaponea nyumbani we dont buy that
No ni ndani ya ngozi yaani umeweka ufa, mradi hainizuii kufanya kazi na mambo yangu ya msingi basi it's not big deal kama kujikata na wembe tu.
 
Back
Top Bottom