Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

Mkuu unalia sababu ya kujigonga kidole cha mguu?

Mimi kuna dogo alinizingua basi kwa hasira nikatandika ngumi kwenye nondo ya dirisha mpaka nikavunja mfupa wa kidole cha mwisho cha mkono wa kulia maumivu yake ni kama mtu awe anakukata'kata na kisu. na mpaka leo kidole kimetuna kwa juu na kiliuma miezi kama miwili hivi na sikutumia dawa wala kwenda hospital lakini mpaka leo bado nadunda. Maumivu ya kuvunja mfupa yasikie kwa jirani tu ila sikulia.

Vilevile niliwahi kupiga kiti teke kwa hasira na nguvu zote matokeo yake mfupa wa kidole cha pili mguu wa kulia ukatoka kwa juu ndani ya ngozi nilitembea kwa tabu kwa miezi kama 5 au 6 hivi lakini sikulia japo maumivu yake ni zaidi ya kuungua moto. Kwangu kulia naona ni udhaifu mkubwa sana na nitajiona weak siku nikilia hivyo silii hata iweje. japo wanasema ukilia unapunguza maumivu lakini kwangu NO.

Nilichogundua watu wengi ni dhaifu na weak sana ndani ila nje wanaact tough nashangaa kuna watu wanalia kuhusu mapenzi. seriously mapenzi?
Hasira hasara!
 
kuna ile unatembea unajigonga kidole kwenye pembe ya mlango au meza weeee mim hukaa chini moja moja nalia [emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi Nna ujauzito niliwahi kujigonga tumbo aisee sitasahau mpaka kuhema nilishindwa kwa muda machozi yalitoka yenyewe nikalala na kulala kumpimzika kwanza kisha nikaenda hospital
Pole! Niliwahi kusikia tumbo la ujauzito huwa ni gumu fulani hivi kutoa kinga kwa mtoto tumboni.
 
kuna ile unatembea unajigonga kidole kwenye pembe ya mlango au meza weeee mim hukaa chini moja moja nalia 😂😂😂
Kipindi Nna ujauzito niliwahi kujigonga tumbo aisee sitasahau mpaka kuhema nilishindwa kwa muda machozi yalitoka yenyewe nikalala na kulala kumpimzika kwanza kisha nikaenda hospital
😂😂😂😂😂😂 mimi ningekucheka mno unavyolia
 
Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.

Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani.

Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa nguvu (dochi) urudi sakafuni ili udunde kwa nguvu, ni kama ile ya Gabriel Batistuta.

Sasa ile mara ya kwanza nimejaribu nikaona mpira umedunda kidogo, ikabidi nitumie nguvu kubwa sana kuupiga ulipotua anga za chini, La haula!! niliukosa mpira kidole gumba kikagonga sakafu kwa nguvu sana.

Nilihisi kidole gumba kama kimeingia ndani hivi, Nilianza kusikia maumivu kwa mbali sana nikadhani yatapotea baada ya dakika chache.

Nikaenda kujipumzisha kitandani, hapo ndipo hali ilipokuwa mbaya zaidi, nilihisi mapigo yote ya moyo yamehamia kwenye kidole gumba na maumivu yalikuwa makali mno, mke wangu aliniletea barafu lakini wapi, nilitumia panadol lakini hamna kitu.

Wife akaniacha akaenda sebelni kuwapa kampani watoto basi huo mda ndio niliutumia kukubali tu nimeshindwa kuvumilia yani kwa yale maumivu nililia kama mtoto ndani ya blanketi, ahhh sio kwa maumivu yale, hata nilipoletewa chakula kitandani nilimwambia arudishe tu nikiwa nimeficha uso ndani ya blanketi, ilibidi usiku huo huo niwaombe waende duka la dawa kuninunulia dawa ya usingizi.

Cha kushukuru usingizi ulinipitia, nakuja kustuka ni saa 12 asubuhi na maumivu, kitu cha kwanza kufikiria ni kidole, nkajaribu kukikunja nikaweza japo kwa maumvu ya mbali sana, nilishukuru sana maana jana hata kukunja idole ilishindikana kabisa, yaani hata kukimnya tu ilikuwa ni maumivu.

Pole sana, ukishakuwa mtu mzima kupata fractures ni rahisi sana. Kaa mbali na baiskeli au michezo hatarishi kama wewe sio athlete.
 
Batistuta huyo😂
***** achana na vitu za watu
 
Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.

Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani.

Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa nguvu (dochi) urudi sakafuni ili udunde kwa nguvu, ni kama ile ya Gabriel Batistuta.

Sasa ile mara ya kwanza nimejaribu nikaona mpira umedunda kidogo, ikabidi nitumie nguvu kubwa sana kuupiga ulipotua anga za chini, La haula!! niliukosa mpira kidole gumba kikagonga sakafu kwa nguvu sana.

Nilihisi kidole gumba kama kimeingia ndani hivi, Nilianza kusikia maumivu kwa mbali sana nikadhani yatapotea baada ya dakika chache.

Nikaenda kujipumzisha kitandani, hapo ndipo hali ilipokuwa mbaya zaidi, nilihisi mapigo yote ya moyo yamehamia kwenye kidole gumba na maumivu yalikuwa makali mno, mke wangu aliniletea barafu lakini wapi, nilitumia panadol lakini hamna kitu.

Wife akaniacha akaenda sebelni kuwapa kampani watoto basi huo mda ndio niliutumia kukubali tu nimeshindwa kuvumilia yani kwa yale maumivu nililia kama mtoto ndani ya blanketi, ahhh sio kwa maumivu yale, hata nilipoletewa chakula kitandani nilimwambia arudishe tu nikiwa nimeficha uso ndani ya blanketi, ilibidi usiku huo huo niwaombe waende duka la dawa kuninunulia dawa ya usingizi.

Cha kushukuru usingizi ulinipitia, nakuja kustuka ni saa 12 asubuhi na maumivu, kitu cha kwanza kufikiria ni kidole, nkajaribu kukikunja nikaweza japo kwa maumvu ya mbali sana, nilishukuru sana maana jana hata kukunja idole ilishindikana kabisa, yaani hata kukimnya tu ilikuwa ni maumivu.

Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.
Halafu usikute hapo nyumbani wewe ndiye mtoto! Ila kwa sababu zako tu binafsi, ukaamua kujivisha koti la ubaba!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.

Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani.

Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa nguvu (dochi) urudi sakafuni ili udunde kwa nguvu, ni kama ile ya Gabriel Batistuta.

Sasa ile mara ya kwanza nimejaribu nikaona mpira umedunda kidogo, ikabidi nitumie nguvu kubwa sana kuupiga ulipotua anga za chini, La haula!! niliukosa mpira kidole gumba kikagonga sakafu kwa nguvu sana.

Nilihisi kidole gumba kama kimeingia ndani hivi, Nilianza kusikia maumivu kwa mbali sana nikadhani yatapotea baada ya dakika chache.

Nikaenda kujipumzisha kitandani, hapo ndipo hali ilipokuwa mbaya zaidi, nilihisi mapigo yote ya moyo yamehamia kwenye kidole gumba na maumivu yalikuwa makali mno, mke wangu aliniletea barafu lakini wapi, nilitumia panadol lakini hamna kitu.

Wife akaniacha akaenda sebelni kuwapa kampani watoto basi huo mda ndio niliutumia kukubali tu nimeshindwa kuvumilia yani kwa yale maumivu nililia kama mtoto ndani ya blanketi, ahhh sio kwa maumivu yale, hata nilipoletewa chakula kitandani nilimwambia arudishe tu nikiwa nimeficha uso ndani ya blanketi, ilibidi usiku huo huo niwaombe waende duka la dawa kuninunulia dawa ya usingizi.

Cha kushukuru usingizi ulinipitia, nakuja kustuka ni saa 12 asubuhi na maumivu, kitu cha kwanza kufikiria ni kidole, nkajaribu kukikunja nikaweza japo kwa maumvu ya mbali sana, nilishukuru sana maana jana hata kukunja idole ilishindikana kabisa, yaani hata kukimnya tu ilikuwa ni maumivu.

Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.
Nimecheka sana pole mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
kuna ile unatembea unajigonga kidole kwenye pembe ya mlango au meza weeee mim hukaa chini moja moja nalia [emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi Nna ujauzito niliwahi kujigonga tumbo aisee sitasahau mpaka kuhema nilishindwa kwa muda machozi yalitoka yenyewe nikalala na kulala kumpimzika kwanza kisha nikaenda hospital
Hahahaha hii situation ishawahi nitokea mara kibao.

Daaah acha maumivu yake

Mimi huwa napiga ukunga mkubwa sana kwa nguvu zote halafu natulia nasikilizia maumivu.
 
😂😂😂😂😂
 
Umenikumbusha mwaka flani tukiwa tunalima shamban kwa jembe lamkono.Mzeewangu mpini ukamgonga mguuni kwenye mfupa flani mbele yamguu.Tulichoshangaa nimzee kakaachini anaukanda mguu namajani mabichi huku kakunja sura.
Mwanzo nilikua nachekea tumboni Ila mwisho ilibidi kicheko kinishinde nguvu.
 
Hahaaaa, mkuu we hujawai cheza hata sodo enzi hizo, labda kupikapika
 
Back
Top Bottom