Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

Hasira hasara!
 
Pole! Niliwahi kusikia tumbo la ujauzito huwa ni gumu fulani hivi kutoa kinga kwa mtoto tumboni.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi ningekucheka mno unavyolia
 
Pole sana, ukishakuwa mtu mzima kupata fractures ni rahisi sana. Kaa mbali na baiskeli au michezo hatarishi kama wewe sio athlete.
 
Batistuta huyoπŸ˜‚
***** achana na vitu za watu
 
Siku nyingine ucheze na mama Yao. Vijana watakuzingua
 
Halafu usikute hapo nyumbani wewe ndiye mtoto! Ila kwa sababu zako tu binafsi, ukaamua kujivisha koti la ubaba!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka sana pole mkuu🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hahahaha hii situation ishawahi nitokea mara kibao.

Daaah acha maumivu yake

Mimi huwa napiga ukunga mkubwa sana kwa nguvu zote halafu natulia nasikilizia maumivu.
 
Hahahaha hii situation ishawahi nitokea mara kibao.

Daaah acha maumivu yake

Mimi huwa napiga ukunga mkubwa sana kwa nguvu zote halafu natulia nasikilizia maumivu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umenikumbusha mwaka flani tukiwa tunalima shamban kwa jembe lamkono.Mzeewangu mpini ukamgonga mguuni kwenye mfupa flani mbele yamguu.Tulichoshangaa nimzee kakaachini anaukanda mguu namajani mabichi huku kakunja sura.
Mwanzo nilikua nachekea tumboni Ila mwisho ilibidi kicheko kinishinde nguvu.
 
Hahaaaa, mkuu we hujawai cheza hata sodo enzi hizo, labda kupikapika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…