Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

Mm mwenywe nilitezeka na Dole gumba miezi mitatu maumifu hayaisha had kubadili styli ya kutembea nilichua kwa dawa za kuchua ndio nikapa haueni duu pole Sana mkuu I can fee the pain
 
Sky soldier unawezaje kulia?[emoji1787][emoji1787]Askari halii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…