Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

Umetoa hoja kuntu wenye uelewa mdogo wameeanza kukuatack we binafsi badala ya hoja,itoshe kumsema nchi hii inavijana wengi wasiojitambua wao kutwa kupenda kuwa chawa
 
Watetezi wa wananchi kwa sasa ni team magu tu, wapinzani washalambishwa asali.πŸ˜€πŸ˜€
Hawaoni hata haja ya kuzungumzia mfumuko wa bei, mikopo isiyo na tija, safari na ziara za viongozi ndani na nje ya nchi. Wao ni kupongeza tu!
Team "maliyemu"?Hamjapona ugonjwa wenu wa kuangukaanguka?😜😜😜😜
 
ccm haina tofauti na Ile ya 60yrs ago na sitegemei watafanya tofauti, middle class ya kitanzania acheni uoga wa kupigania unachokiamini na usitegemee upiganiwe
CCM haina jipya, inaishi kwa nguvu ya Dola na rushwa Wala Hilo siyo la kujiuliza.
 
Kazi ya vyama vya Siasa ni nini kwani Mkuu?
Maana anaposema kila MTU apiganie yake basi hakuna haja ya vyama
 
Umetoa hoja kuntu wenye uelewa mdogo wameeanza kukuatack we binafsi badala ya hoja,itoshe kumsema nchi hii inavijana wengi wasiojitambua wao kutwa kupenda kuwa chawa

Safari bado ni ndefu Sana
 
Siri kubwa: Siku zote anza taratibu na weka akiba ya maneno. Vinginevyo utashindwa kwenda juu!
 
Sophia Mjema kapata msaidizi ambaye ni Mbowe, mbowe sasa kawa Katibu Mwenezi msaidizi wa CCM Taifa. Mbowe jana kadhidirisha uchawa kwa Samia na hakuona ukubwa wa mkutano wa jana akaamua kutudharau akaja viwanjani kalewa chakali. Hakuna haja ya kuhudhuria mikutano ya Mbowe kama Chama mbadala wa CCM maana hakuna jipya utakalolisikia.
 
Siri kubwa: Siku zote anza taratibu na weka akiba ya maneno. Vinginevyo utashindwa kwenda juu!

Lakini kumsifia hasimu wako Mbele ya Mkeo na wanao Huko sio kuanza taratibu Mkuu.

Haikupaswa kivyovyote Chadema kuisifia CCM.
 
Watu wanamsikiliza Kiongozi.
Atakachoongea Kiongozi Mkuu ndio kinasikilizwa.
Hao wengine hatuwazingatii sana

Kiongozi mkuu halisi wa sasa tunayesubiri kumsikiliza ni Tundu Lisu. Huyo Mbowe hata kabla ya mkutano wa jana tayari alishapoteza imani yetu.
 
Kiongozi mkuu halisi wa sasa tunayesubiri kumsikiliza ni Tundu Lisu. Huyo Mbowe hata kabla ya mkutano wa jana tayari alishapoteza imani yetu.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Ingefaa astaafu Kwa heshima alafu awaachie kijiti wengine kama yeye keshaingia hofu, au utu uzima umemkabili,
 
Watetezi wa wananchi kwa sasa ni team magu tu, wapinzani washalambishwa asali.πŸ˜€πŸ˜€
Hawaoni hata haja ya kuzungumzia mfumuko wa bei, mikopo isiyo na tija, safari na ziara za viongozi ndani na nje ya nchi. Wao ni kupongeza tu!

Hao Team Magu wanazungumzia wakiwa wapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Ingefaa astaafu Kwa heshima alafu awaachie kijiti wengine kama yeye keshaingia hofu, au utu uzima umemkabili,

Hili limekuwa pendekezo langu la msingi, toka afanye blunder ya kumpokea Lowassa. Nashangaa hata uchaguzi uliopita aligombea uenyekiti tena. Hastahili kabisa kwa sasa nafasi hiyo.
 
Kuna wajinga wapo chadema wanaamini wapo kwenye harakati kumbe ni kumsindikiza mbowe kulamba asali
 
Lakini kumsifia hasimu wako Mbele ya Mkeo na wanao Huko sio kuanza taratibu Mkuu.

Haikupaswa kivyovyote Chadema kuisifia CCM.
Hizo ndio busara za siasa za Tanzania na hata Samia mwenyewe anaelewa nini maana ya β€œkusifiwa” na Mbowe. Mbowe asingekuwa na busara za kisiasa kwa hakika Magufuli angelisha mmaliza siku nyingi!
 
Hili limekuwa pendekezo langu la msingi, toka afanye blunder ya kumpokea Lowassa. Nashangaa hata uchaguzi uliopita aligombea uenyekiti tena. Hastahili kabisa kwa sasa nafasi hiyo.

Hili limekuwa pendekezo langu la msingi, toka afanye blunder ya kumpokea Lowassa. Nashangaa hata uchaguzi uliopita aligombea uenyekiti tena. Hastahili kabisa kwa sasa nafasi hiyo.

Haikuwa Kete nzuri Kwa kweli, Lowasa ndiye aliyeimaliza chadema,
 
CHADEMA limebaki jina tu. Ila imechoka chakaliii.

Unapandisha jukwaani mianasiasa iliyokula IMESHIBA inaongea ikihema JUU JUU.

Sura zile zile kwa miaka 15 Sasa.

Stori zile zile.

Siasa zile zile.

Hakuna JIPYA.

Kama wanasiasa wa CDM wamekula na kushibiana, hao wa CCM watakuwa na hali gani kwa shibe? Au umelewa nini boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…