Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

Na, Robert Heriel

Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo.

Hakukuwa na sababu hata moja ya kumtaja Rais achilia mbali kumsifia kama kweli ule ungekuwa Mkutano wa CHADEMA.

Mwenyekiti Mbowe na viongozi wengine waliomsifia mwenyekiti wa CCM, Rais, Dr Samia Suluhu, wamefanya kosa kubwa kisiasa, kiushawishi.

Kimantiki, Kilichokuwa kinafanyika Jana ni kuushawishi umma wa watanzania waikubali CCM na kumuamini Rais Samia katika kuongoza Dola.

Sio ajabu Mbowe alizomewa, na walikuwa na haki ya kumzomea wafuasi wa Chadema. Jambo ambalo kama ingekuwa ni Mkutano wa CHADEMA lisingetokea.

Kama ungekuwa Mkutano wa Chadema, basi wazungumzaji wote waliopewa nafasi ya kusimama kuzungumza wangewashawishi watu kwa hoja namna CCM na Mwenyeketi wake walivyokosa sifa na vigezo vya kuongoza taifa hili.

Mkutano wa Jana Mwanza wa CCM, umejaribu kuonyesha watu wa nchi hii picha halisi ya wapinzani tulionao.

Hakuna anayetaka siasa za matusi, Mbowe kusema kuwa ati hatamtukana Mwenyekiti wa CCM, inashangaza, hakuna aliyemuambia amtukane. Wanachokataa ni Mbowe kuwa upande wa Samia, kuwa CCM. Tafsiri yake ni kuwa Wanachadema hawataki kuongozwa na MTU aliyeupande wa CCM.

Wanachadema wanaposema Mbowe analamba Asali, bila Shaka wanarejelea maana ya kuwa Mbowe yupo upande wa watawala wa CCM. Indirect way wanajaribu kusema Mbowe ni CCM. Na kama Mbowe yupo upande wa CCM automatically Mkutano wa Jana ulikuwa wa CCM.

Kulikuwa na hoja nyingi za msingi za kuzizungumzia,

1. Mbowe alipaswa aanzie alipoishia, kuwekwa ndani na baadaye kesi yake kufutwa. Ingawaje ni Jambo gumu 😀 lakini angeanzia hapo. Mfano Lissu yeye huanziaga pale alipopigwa Risasi. Wanasema ukitaka kumuua nyoka anzia miguuni.

2. Hoja ya Katiba Mpya, hii wameijadili lakini katika kiwango cha Chini.

3. Hoja ya Hali ngumu ya Maisha. Mkutano wa Jana ungepaswa utoe muhtasari wa jinsi serikali iliyopo madarakani ilivyoshindwa kuwapa unafuu Wananchi. Bei za bidhaa zipo juu. Wananchi wanataabika. Badala yake wanasifia CCM. Mpaka unajiuliza ulikuwa Mkutano wa chama cha upinzani kweli au Laa.

4. Hoja za Haki na Uhuru wa kujieleza.
Katika uwasilishaji wangejaribu kuwashawishi watu namna gani walivyofanikiwa kupigania hilo eneo. Hoja zao zijikite kuwa kila mafanikio na Maendeleo ya haki na Uhuru ndani ya nchi hii yamechangiwa Kwa kiasi kikubwa na Chadema.

Wangetakiwa wasema hata kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa ni Kutokana na juhudi zao. Na watahakikisha kuwa Haki na Uhuru watavipigania Kwa gharama yoyote.

Hivi MTU akisema hivyo ametukana popote, amevunja sheria yoyote, jibu ni Hapana. Sasa unapomsifia hasimu wako kuwa bila yeye mikutano isingeruhusiwa unajaribu kuwaambia nini Wananchi?

Yaani ni sawasawa unaenda mtongoza Demu, alafu badala ujisifie wewe ATI unamsifia Mshindani wako. Unategemea Demu atakuonaje, si atakuona hamnazo!

5. Hoja ya UMOJA na USHIRIKIANO.
Katika Mkutano, Chadema ingeeleza kwa namna gani CCM ilivyoshindwa kuleta UMOJA na USHIRIKIANO ndani ya nchi. Kwa Hoja ZENYE mashiko na mifano dhahiri Wananchi wangeelewa.

Kisha iseme, Chadema Ipo kwaajili ya kuijenga nchi hii katika UMOJA na USHIRIKIANO. Sio kama CCM walivyofanya(unataja mifano).

Binafsi nimesikitishwa na chama ambacho ni kikubwa chenye miaka 30 Kwa Makusudi kabisa kikashindwa kuifanya siku ya Jana kuwa siku kweli ya uzinduzi. Badala yake wamezindua UCCM.

Kama tutaweka unafiki pembeni, nataka kusema, viongozi wa Chadema wamewaangusha wanachadema,
CCM inawazidije ujanja, Sasa si Bora hata msingefanya Mkutano kuliko kupoteza Muda na Pesa.

CCM wenzenu watapitia humohumo kwenye mapungufu yenu.

CCM ninavyowajua watakuja na kuwapaka Mavi mnuke,

Mimi ngoja nipumzike.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es
Povu lote la nini? Kama vipi kaanzishe chama chako na wewe ndiyo uongee hizo point. Wewe Robert Heriel hata kushtakiwa Serikali za Mtaa hujawahi, leo unamponda Mbowe ambaye kuanzia 2015- 21 Magufuli alikuwa anamtafuta kwa bunduki amuue baada ya kumharibia biashara zake, halafu unasema asimsifie Samia ambaye ameleta maridhiano. Huu ni USHAURI wa KIPUMBAVU, hizi ndiyo siasa, na wana siasa wanazijua
 
😂😂
Mkuu unataka mpaka nishtakiwe na kulazwa Sero ndio nitoe maoni
 
Wewe huoni nchi Mama kaituliza? Wafungwa wa kesi za CDM wengi tu zaidi ya Mbowe wameachiwa, waliodhulumiwa fedha na magufuli including Tundu Lissu wanafididiwa au kurudishiwa. Mauji na utekaji yaliyokuwa yanafanywa na kikundi cha WASIOJULIKANA hayapo tena. Ajira zimeanza japo kidogo, mishahara imepanda japo kidogo na biashara zinakuwa na uwekezaji unaongezeka.

Nyinyi mnataka siasa za confrontation tu, this is wrong. Samia ni Rais muungwana asiyependa DHULUMA, ukimpeleka kama ilivyokuwa kwa magufuli aliyekuwa anataka kuwaua, utapotea.
 
Hizo Sifa zote juu ya Samia ninazifahamu,
Ila nilichoeleza kwenye Uzi wangu ni kushangazwa na Chadema kufanya wajibu usiowahusu.
 
Mbowe ule ni wajibu wake cheo na hadhi aliyonayo inakwenda sambamba na maswahibu anayopitia

Kuwekwa jela sio sababu eti asitimize uamuzi wake

Yeye anapaswa kuendelea kutimiza kama anadhani kafanya part yake na akae kando Taikon akachukue gurudumu
Sawa mkuu nimekuelewa vema,ni wajibu wa Mh.Mbowe kuendelea kutupigania sisi mashujaa wa kulalama humu JF
 
Kisaikolojia binadamu akishavuka miaka 50+ kuelekea 60+ anaacha kuhangaika na mambo ya dunia anaanza kujihangaikia yeye na wale wanaomhusu yaani familia yake.

Hii ndio sababu Africa hatuendelei na kila siku tunarudi nyuma sababu ya politics za kipumbavu zilizojaa ushabiki na unafiki bila kuelewa hatima ya taifa ipo wapi katika shughuli za kisiasa. Hii ni kwasababu tunapenda kuweka katika uongozi na nafasi za maamuzi watu ambao wapo katika "retirement age". Retirement age ni wakati ambapo mtu anajiandalia maisha yake ya uzee yaani ile nusu ya pili ya miaka 100 ya binadamu lakini pia kuandaa mafao kwa watoto na wajukuu zake.

Nadhani ufike wakati tutambue damu changa yaani below 40 years ni age nzuri ya kuchagua viongozi kwaajiri ya mabadiliko. Hawa wazee wakishafikia umri wa miaka 50 iwe ni disqualification ya kukaa katika nafasi za maamuzi na influence watolewe katika taasisi unless wawe ni watu wenye uwezo na vipaji vya pekee nje ya hapo wabakie kuwa washauri na watumike pale tu vijana wanapoonyesha kukosa busara za hekima katika uongozi.

Ila haya mambo ya kuwaweka akina kinana, Samia, kikwete, Mbowe, lipumba, sijui nani watu ambao wameshaingia retirement age matokeo ni kupata watu wabinafsi wanaoweka watoto wao na ndugu katika nyadhifa ili kulinda masilahi ya kifamilia na damu nzuri ya kuiandaa kwa uongozi wa miaka hii ni kuanzia 25 hadi mwisho 49. Hawa wazee kuanzia 50 wanatazama masilahi ya koo zao hakuna kitu watafanya.

Tazama akina Gaddafi (Libya),Mandela (S. Africa), Mugabe( Zimbabwe),Nyerere (Tanganyika), Fideli Castro (Cuba), J. F. Kennedy (U.S.A), Museveni (Uganda).Hawa wote ni damu changa na walionekana kuwa na moto wa uzalendo na mataifa yao. Ila tazama baadhi ambao hawakuachia nafasi zao kama akina mugabe na museven walipoanza kufika retirement age wakaanza kuwa ving'ang'anizi madarakani na sasa wakabadilika na kuanza kuwa wabinafsi na kuanza kutumia mali za uma kujineemesha na familia zao.

This is not Rocket science its purely psychological. Hata wewe mwanaume ukiwa na mkeo kwenye Ndoa katika ujana mtapambana kujenga life ya pamoja umri ukishafika miaka 50+ ubinafsi unaanza kila m'moja anaanza kutaka kuweka hifadhi yake ya baadae na kuacha kumjali mwenzake kama enzi za ujana.

Sasa hapa msimtazame mbowe kama shujaa bali mtazameni kama mwanadamu mtaelewa nini kitaendelea hata ikatokea akawa mgombea wa uraisi na kufanikiwa kushinda.

Changamoto iliyopo vijana wa Tanzania tuna uwezo mdogo sana wa kuchambua na kuelewa mambo kwa nguvu ya mantiki (logic) na huwa mara nyingi tunatumia zaidi hisia( emotions) hapa ndipo tunapofeli.

Vijana wa CCM mjitafakari sana nani mumewaweka katika meza za maamuzi ya mwisho. Hili taifa na mataifa yote duniani yanahitaji damu changa ya uongozi ambayo unauwezo wa kuona nyakati sio kung'ang'ania wazee eti wanabusara. Busara za wazee ni muhimu ila si lazima kwenda nazo kama hazitunufaishi kama taifa. Achaneni nao hao wazee wa asali sijui nini nini msoga. Tupa kule.

Uongozi ni vijana chini ya umri wa miaka 50 yaani kianzia miaka 49 kushuka.
 
Mbowe kaboronga Jana, lakini ujinga wa mbowe usiulete CHADEMA. Lissu akichemka Basi itabidi niachane na siasa.
Mshaingizwa kingi hamna chama hapo Bali walamba asali Tu wakiongozwa na mkiti wao..hamia ACT wazalendo mkafanye unafiki na zito
 
U may be right,

Bt Bado muda upi wa kurekebisha ndani ya vikao vya CDM.
 
Falsafa ya maisha inasema hakuna kusifiana katika ushindani hata siku moja haiwezi kutokea,vinginevyo kwa kufanya hivyo Mbowe alilenga katika kuweka kilainisho cha mjadala wa maridhiano vikao vijavyo.
 
Na, Robert Heriel

Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo.

Hakukuwa na sababu hata moja ya kumtaja Rais achilia mbali kumsifia kama kweli ule ungekuwa Mkutano wa CHADEMA.

Mwenyekiti Mbowe na viongozi wengine waliomsifia mwenyekiti wa CCM, Rais, Dr Samia Suluhu, wamefanya kosa kubwa kisiasa, kiushawishi.

Kimantiki, Kilichokuwa kinafanyika Jana ni kuushawishi umma wa watanzania waikubali CCM na kumuamini Rais Samia katika kuongoza Dola.

Sio ajabu Mbowe alizomewa, na walikuwa na haki ya kumzomea wafuasi wa Chadema. Jambo ambalo kama ingekuwa ni Mkutano wa CHADEMA lisingetokea.

Kama ungekuwa Mkutano wa Chadema, basi wazungumzaji wote waliopewa nafasi ya kusimama kuzungumza wangewashawishi watu kwa hoja namna CCM na Mwenyeketi wake walivyokosa sifa na vigezo vya kuongoza taifa hili.

Mkutano wa Jana Mwanza wa CCM, umejaribu kuonyesha watu wa nchi hii picha halisi ya wapinzani tulionao.

Hakuna anayetaka siasa za matusi, Mbowe kusema kuwa ati hatamtukana Mwenyekiti wa CCM, inashangaza, hakuna aliyemuambia amtukane. Wanachokataa ni Mbowe kuwa upande wa Samia, kuwa CCM. Tafsiri yake ni kuwa Wanachadema hawataki kuongozwa na MTU aliyeupande wa CCM.

Wanachadema wanaposema Mbowe analamba Asali, bila Shaka wanarejelea maana ya kuwa Mbowe yupo upande wa watawala wa CCM. Indirect way wanajaribu kusema Mbowe ni CCM. Na kama Mbowe yupo upande wa CCM automatically Mkutano wa Jana ulikuwa wa CCM.

Kulikuwa na hoja nyingi za msingi za kuzizungumzia,

1. Mbowe alipaswa aanzie alipoishia, kuwekwa ndani na baadaye kesi yake kufutwa. Ingawaje ni Jambo gumu 😀 lakini angeanzia hapo. Mfano Lissu yeye huanziaga pale alipopigwa Risasi. Wanasema ukitaka kumuua nyoka anzia miguuni.

2. Hoja ya Katiba Mpya, hii wameijadili lakini katika kiwango cha Chini.

3. Hoja ya Hali ngumu ya Maisha. Mkutano wa Jana ungepaswa utoe muhtasari wa jinsi serikali iliyopo madarakani ilivyoshindwa kuwapa unafuu Wananchi. Bei za bidhaa zipo juu. Wananchi wanataabika. Badala yake wanasifia CCM. Mpaka unajiuliza ulikuwa Mkutano wa chama cha upinzani kweli au Laa.

4. Hoja za Haki na Uhuru wa kujieleza.
Katika uwasilishaji wangejaribu kuwashawishi watu namna gani walivyofanikiwa kupigania hilo eneo. Hoja zao zijikite kuwa kila mafanikio na Maendeleo ya haki na Uhuru ndani ya nchi hii yamechangiwa Kwa kiasi kikubwa na Chadema.

Wangetakiwa wasema hata kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa ni Kutokana na juhudi zao. Na watahakikisha kuwa Haki na Uhuru watavipigania Kwa gharama yoyote.

Hivi MTU akisema hivyo ametukana popote, amevunja sheria yoyote, jibu ni Hapana. Sasa unapomsifia hasimu wako kuwa bila yeye mikutano isingeruhusiwa unajaribu kuwaambia nini Wananchi?

Yaani ni sawasawa unaenda mtongoza Demu, alafu badala ujisifie wewe ATI unamsifia Mshindani wako. Unategemea Demu atakuonaje, si atakuona hamnazo!

5. Hoja ya UMOJA na USHIRIKIANO.
Katika Mkutano, Chadema ingeeleza kwa namna gani CCM ilivyoshindwa kuleta UMOJA na USHIRIKIANO ndani ya nchi. Kwa Hoja ZENYE mashiko na mifano dhahiri Wananchi wangeelewa.

Kisha iseme, Chadema Ipo kwaajili ya kuijenga nchi hii katika UMOJA na USHIRIKIANO. Sio kama CCM walivyofanya(unataja mifano).

Binafsi nimesikitishwa na chama ambacho ni kikubwa chenye miaka 30 Kwa Makusudi kabisa kikashindwa kuifanya siku ya Jana kuwa siku kweli ya uzinduzi. Badala yake wamezindua UCCM.

Kama tutaweka unafiki pembeni, nataka kusema, viongozi wa Chadema wamewaangusha wanachadema,
CCM inawazidije ujanja, Sasa si Bora hata msingefanya Mkutano kuliko kupoteza Muda na Pesa.

CCM wenzenu watapitia humohumo kwenye mapungufu yenu.

CCM ninavyowajua watakuja na kuwapaka Mavi mnuke,

Mimi ngoja nipumzike.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es
CCM pia kama Kuna kosa kubwa wanafanya ni kuamini kuwa wamemlambisha Mbowe asali.

Acha tuone movie hii itapoishia.
 
Kasomeni Hadithi za Esopo hasa ile ya Jua na Upepo, ndiyo mtajua lengo la Mbowe katika hotuba ya jana.

It’s all about a friendly approach.
 
Ingawaje Watanzania na wanachadema walizingua na kumwacha Mbowe peke yake but Mbowe kama Kiongozi wa upinzani Jana kazingua.

Amebainisha wazi umri wake umekwenda na support ya Watanzania katika kupigania wanayoyaamini haipo,but hakutakiwa kuwa mnyenyekevu kwa Mwenyekiti mwenzake ambaye ni mpinzani wake.

Sasa kama amemsifia hivyo huko majukwani akimukosea SAMIA na Serikali yake-lazima tutamchukulia kama chizi.
 
Watetezi wa wananchi kwa sasa ni team magu tu, wapinzani washalambishwa asali.😀😀
Hawaoni hata haja ya kuzungumzia mfumuko wa bei, mikopo isiyo na tija, safari na ziara za viongozi ndani na nje ya nchi. Wao ni kupongeza tu!
Anzisheni chama chenu tujiunge... Token nje ya ccm
 
Unaenda spidi sana. Hakuna aliyeimaliza CHADEMA wala CHADEMA haijamalizika. Ni Magufuli tu ndiye aliyeimwagia maji ya barafu na bado akashindwa kuuzima kabisa moto wake. Btw nguvu ya CHADEMA inayowaogopesha watawala na chawa wao ni kwamba chama kimefikia hatua ya kuwa “movement” au “platform” ya upinzani inayotegemewa na wananchi wote hadi walio ndani ya dola na CCM wanapotaka kukosoa serikali yao ya kidikteta.

Ni wazi kuwa ujio wa Lowassa 2015 ulishusha hadhi (credibility) ya CHADEMA kwa watu wenye msimamo mkali wa maadili. LAKINI kwa wenye mtizamo wa kimkakati ndicho kipindi uwakilishi wa CHADEMA na vyama vya UKAWA ulipoongezeka sana bungeni na kwenye vyombo vingine vya uwakilishi kuliko wakati mwingine wowote. In fact, Lowassa na sifa yake mbaya “alishinda” kwa kura lakini hakuwa na ujanja mbele ya dola kama alivyowadanganya CHADEMA/UKAWA.

Mkosoe Mbowe kwa hoja lakini waache chawa wa Magufuli, Samia na CCM waendelee kubweka tamanio lao kuu kuwa CHADEMA “imekufa” tangu wampokee Lowassa kama walivyong’ang’ania kuwa “Lissu ni msaliti” tangu “alivyovujisha siri za nchi kwa ACACIA na MIGA”! 😳. Bizarre beings.

Mbowe keshamaliza kazi yake. He may as well retire for his health. Leo CHADEMA haimhitaji Mbowe wala mtu yeyote kusimama. That party is beyond individuals/groups of individuals. Kila anayetoka na kujaribu kuiponda yeye ndiye anayepoteza umaarufu na kuwa irrelevant kwa jamii ya Watanzania.
 
Lissu na yeye tunamsubiri akija atapita mle mle amsifie mama samia na hapo sjui ntamsubir nan tena , ukweli ni kuwa chadema ushawishi hamna
Lisu kucheza na hoja ni taaluma yake> sahau kitu hiyo
 
Na, Robert Heriel

Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo.

Hakukuwa na sababu hata moja ya kumtaja Rais achilia mbali kumsifia kama kweli ule ungekuwa Mkutano wa CHADEMA.

Mwenyekiti Mbowe na viongozi wengine waliomsifia mwenyekiti wa CCM, Rais, Dr Samia Suluhu, wamefanya kosa kubwa kisiasa, kiushawishi.

Kimantiki, Kilichokuwa kinafanyika Jana ni kuushawishi umma wa watanzania waikubali CCM na kumuamini Rais Samia katika kuongoza Dola.

Sio ajabu Mbowe alizomewa, na walikuwa na haki ya kumzomea wafuasi wa Chadema. Jambo ambalo kama ingekuwa ni Mkutano wa CHADEMA lisingetokea.

Kama ungekuwa Mkutano wa Chadema, basi wazungumzaji wote waliopewa nafasi ya kusimama kuzungumza wangewashawishi watu kwa hoja namna CCM na Mwenyeketi wake walivyokosa sifa na vigezo vya kuongoza taifa hili.

Mkutano wa Jana Mwanza wa CCM, umejaribu kuonyesha watu wa nchi hii picha halisi ya wapinzani tulionao.

Hakuna anayetaka siasa za matusi, Mbowe kusema kuwa ati hatamtukana Mwenyekiti wa CCM, inashangaza, hakuna aliyemuambia amtukane. Wanachokataa ni Mbowe kuwa upande wa Samia, kuwa CCM. Tafsiri yake ni kuwa Wanachadema hawataki kuongozwa na MTU aliyeupande wa CCM.

Wanachadema wanaposema Mbowe analamba Asali, bila Shaka wanarejelea maana ya kuwa Mbowe yupo upande wa watawala wa CCM. Indirect way wanajaribu kusema Mbowe ni CCM. Na kama Mbowe yupo upande wa CCM automatically Mkutano wa Jana ulikuwa wa CCM.

Kulikuwa na hoja nyingi za msingi za kuzizungumzia,

1. Mbowe alipaswa aanzie alipoishia, kuwekwa ndani na baadaye kesi yake kufutwa. Ingawaje ni Jambo gumu 😀 lakini angeanzia hapo. Mfano Lissu yeye huanziaga pale alipopigwa Risasi. Wanasema ukitaka kumuua nyoka nanzia miguuni.

2. Hoja ya Katiba Mpya, hii wameijadili lakini katika kiwango cha Chini.

3. Hoja ya Hali ngumu ya Maisha. Mkutano wa Jana ungepaswa utoe muhtasari wa jinsi serikali iliyopo madarakani ilivyoshindwa kuwapa unafuu Wananchi. Bei za bidhaa zipo juu. Wananchi wanataabika. Badala yake wanasifia CCM. Mpaka unajiuliza ulikuwa Mkutano wa chama cha upinzani kweli au Laa.

4. Hoja za Haki na Uhuru wa kujieleza.
Katika uwasilishaji wangejaribu kuwashawishi watu namna gani walivyofanikiwa kupigania hilo eneo. Hoja zao zijikite kuwa kila mafanikio na Maendeleo ya haki na Uhuru ndani ya nchi hii yamechangiwa Kwa kiasi kikubwa na Chadema.

Wangetakiwa wasema hata kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa ni Kutokana na juhudi zao. Na watahakikisha kuwa Haki na Uhuru watavipigania Kwa gharama yoyote.

Hivi MTU akisema hivyo ametukana popote, amevunja sheria yoyote, jibu ni Hapana. Sasa unapomsifia hasimu wako kuwa bila yeye mikutano isingeruhusiwa unajaribu kuwaambia nini Wananchi?

Yaani ni sawasawa unaenda mtongoza Demu, alafu badala ujisifie wewe ATI unamsifia Mshindani wako. Unategemea Demu atakuonaje, si atakuona hamnazo!

5. Hoja ya UMOJA na USHIRIKIANO.
Katika Mkutano, Chadema ingeeleza kwa namna gani CCM ilivyoshindwa kuleta UMOJA na USHIRIKIANO ndani ya nchi. Kwa Hoja ZENYE mashiko na mifano dhahiri Wananchi wangeelewa.

Kisha iseme, Chadema Ipo kwaajili ya kuijenga nchi hii katika UMOJA na USHIRIKIANO. Sio kama CCM walivyofanya(unataja mifano).

Binafsi nimesikitishwa na chama ambacho ni kikubwa chenye miaka 30 Kwa Makusudi kabisa kikashindwa kuifanya siku ya Jana kuwa siku kweli ya uzinduzi. Badala yake wamezindua UCCM.

Kama tutaweka unafiki pembeni, nataka kusema, viongozi wa Chadema wamewaangusha wanachadema,
CCM inawazidije ujanja, Sasa si Bora hata msingefanya Mkutano kuliko kupoteza Muda na Pesa.

CCM wenzenu watapitia humohumo kwenye mapungufu yenu.

CCM ninavyowajua watakuja na kuwapaka Mavi mnuke,

Mimi ngoja nipumzike.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es
Nilishasemaga wewe ni mpumbavu. Long narrative halafu pumba tupu. Why should you always load JF valued server kwa upuuzi now and then?! Ni ukosefu wa maarifa na busara? Hunaga washauri au huna hata self conscious?
 
Na, Robert Heriel

Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo.

Hakukuwa na sababu hata moja ya kumtaja Rais achilia mbali kumsifia kama kweli ule ungekuwa Mkutano wa CHADEMA.

Mwenyekiti Mbowe na viongozi wengine waliomsifia mwenyekiti wa CCM, Rais, Dr Samia Suluhu, wamefanya kosa kubwa kisiasa, kiushawishi.

Kimantiki, Kilichokuwa kinafanyika Jana ni kuushawishi umma wa watanzania waikubali CCM na kumuamini Rais Samia katika kuongoza Dola.

Sio ajabu Mbowe alizomewa, na walikuwa na haki ya kumzomea wafuasi wa Chadema. Jambo ambalo kama ingekuwa ni Mkutano wa CHADEMA lisingetokea.

Kama ungekuwa Mkutano wa Chadema, basi wazungumzaji wote waliopewa nafasi ya kusimama kuzungumza wangewashawishi watu kwa hoja namna CCM na Mwenyeketi wake walivyokosa sifa na vigezo vya kuongoza taifa hili.

Mkutano wa Jana Mwanza wa CCM, umejaribu kuonyesha watu wa nchi hii picha halisi ya wapinzani tulionao.

Hakuna anayetaka siasa za matusi, Mbowe kusema kuwa ati hatamtukana Mwenyekiti wa CCM, inashangaza, hakuna aliyemuambia amtukane. Wanachokataa ni Mbowe kuwa upande wa Samia, kuwa CCM. Tafsiri yake ni kuwa Wanachadema hawataki kuongozwa na MTU aliyeupande wa CCM.

Wanachadema wanaposema Mbowe analamba Asali, bila Shaka wanarejelea maana ya kuwa Mbowe yupo upande wa watawala wa CCM. Indirect way wanajaribu kusema Mbowe ni CCM. Na kama Mbowe yupo upande wa CCM automatically Mkutano wa Jana ulikuwa wa CCM.

Kulikuwa na hoja nyingi za msingi za kuzizungumzia,

1. Mbowe alipaswa aanzie alipoishia, kuwekwa ndani na baadaye kesi yake kufutwa. Ingawaje ni Jambo gumu 😀 lakini angeanzia hapo. Mfano Lissu yeye huanziaga pale alipopigwa Risasi. Wanasema ukitaka kumuua nyoka anzia miguuni.

2. Hoja ya Katiba Mpya, hii wameijadili lakini katika kiwango cha Chini.

3. Hoja ya Hali ngumu ya Maisha. Mkutano wa Jana ungepaswa utoe muhtasari wa jinsi serikali iliyopo madarakani ilivyoshindwa kuwapa unafuu Wananchi. Bei za bidhaa zipo juu. Wananchi wanataabika. Badala yake wanasifia CCM. Mpaka unajiuliza ulikuwa Mkutano wa chama cha upinzani kweli au Laa.

4. Hoja za Haki na Uhuru wa kujieleza.
Katika uwasilishaji wangejaribu kuwashawishi watu namna gani walivyofanikiwa kupigania hilo eneo. Hoja zao zijikite kuwa kila mafanikio na Maendeleo ya haki na Uhuru ndani ya nchi hii yamechangiwa Kwa kiasi kikubwa na Chadema.

Wangetakiwa wasema hata kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa ni Kutokana na juhudi zao. Na watahakikisha kuwa Haki na Uhuru watavipigania Kwa gharama yoyote.

Hivi MTU akisema hivyo ametukana popote, amevunja sheria yoyote, jibu ni Hapana. Sasa unapomsifia hasimu wako kuwa bila yeye mikutano isingeruhusiwa unajaribu kuwaambia nini Wananchi?

Yaani ni sawasawa unaenda mtongoza Demu, alafu badala ujisifie wewe ATI unamsifia Mshindani wako. Unategemea Demu atakuonaje, si atakuona hamnazo!

5. Hoja ya UMOJA na USHIRIKIANO.
Katika Mkutano, Chadema ingeeleza kwa namna gani CCM ilivyoshindwa kuleta UMOJA na USHIRIKIANO ndani ya nchi. Kwa Hoja ZENYE mashiko na mifano dhahiri Wananchi wangeelewa.

Kisha iseme, Chadema Ipo kwaajili ya kuijenga nchi hii katika UMOJA na USHIRIKIANO. Sio kama CCM walivyofanya(unataja mifano).

Binafsi nimesikitishwa na chama ambacho ni kikubwa chenye miaka 30 Kwa Makusudi kabisa kikashindwa kuifanya siku ya Jana kuwa siku kweli ya uzinduzi. Badala yake wamezindua UCCM.

Kama tutaweka unafiki pembeni, nataka kusema, viongozi wa Chadema wamewaangusha wanachadema,
CCM inawazidije ujanja, Sasa si Bora hata msingefanya Mkutano kuliko kupoteza Muda na Pesa.

CCM wenzenu watapitia humohumo kwenye mapungufu yenu.

CCM ninavyowajua watakuja na kuwapaka Mavi mnuke,

Mimi ngoja nipumzike.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es
Haya ni maoni yako. Tunayaheshimu..

Huu ni mtazamo wako Kwa muono wako. We respect that..

Lakini ulichoona na kukielewa, it's not necessarily iwe hivyo Kwa wengine..

Mimi nasema, umeyatazama kwa muono mdogo na mfupi sana...!

Kwani huo ndiyo ulikuwa mkutano wa kwanza na wa mwisho..?

Umefuatilia mkutano wa Musoma Leo J'pili trh 22/1/2023...?

What's the difference...?

To cut it short, ni kuwa, ktk hotuba bora na yenye akili ya Mh. Freeman Mbowe, basi ni ya Jana Kwa sababu aliweza Kwa umakini mkubwa kuepuka kuingia ktk mtego wa CCM na serikali..

Credit to him..

However, I respect your views and opinions..
 
Back
Top Bottom