Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
maombii ya gwajima nanafanyaa kazi,kwanini alikuwa anamsingizia mpakwa mafuta wa bwana mtu wa ufufuo na uzima
eti mpakwa mafuta?? labda anapakwa kusini kwake.Mwana mazinga ombwe mkubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maombii ya gwajima nanafanyaa kazi,kwanini alikuwa anamsingizia mpakwa mafuta wa bwana mtu wa ufufuo na uzima
Binamu asikwambie mtu, HAKUNA UMBEA MTAMU KAMA WA MSIBANI, siku hiyo utajua kila kitu, watu wanajishaua kukesha na kuji keep busy na msiba kumbe hakuna lolote wanataka umbea tu, chezeya , mi ndo navaa niende tabata nikawasikie majiran uko
Jamani best....msiba ni jambo la kuficha kweli?si unawaeleza majirani mnasaidiana...umeona wapi msiba wa wanandugu pekee???
Kuna jambo hapo tena zito ndio maana jamaa akafanya siri...lakini kuna siri dunia hii?mbona tumeshajua...
mbona hii habari imekaa kishigongo shigongo tu?
Majanga yanazidi kumuandama aliyekua mme wa muimbaji maarufu Frola Mbasha, akiwa bado ana kesi mahakamani akidaiwa kumbaka ndugu yake hili ndio janga jingine lilimkuta Emmanuel Mbasha. Janga hilo ni la kufariki kwa mfanyakazi wake wa ndani ambae alijinyonga ijumaa iliyopita.
Inadaiwa kua Emmanuel na mfanyakazi huyo walikua wakiishi wawili tu ndani ya nyumba ya Emmanuel, lakini kitu cha kushangaza zaidi ni pale mfanyakazi huyo alipojinyonga.
Inavyosemekana Emmanuel hakutoa taarifa kwa majirani kuhusu tukio hilo badala yake alitoa taarifa polisi na kisha kuusafirisha mwili wa marehemu kwa siri sana kwenda kumzika Singida.
UMBEA wa msibani raha bwana, maana utajua A to Z , utajua kila kitu kuhusu marehemu, mi ndo maana misiba hii uwa sikosi maana najua ntapata maumbea ya kumwaga, hata kama mtu simjui nikisikia tu huo msiba ni wa aina yake au una utata lazima nitie team
Majirani nuksi kwa kweli mhh, yan wanataka kuambiwa kila kitu, wampishe emma wa watu
Daah eti kaenda kureport polisi, halafu akasafirisha kwenda singida! Yaani polisi wakampa ruhusa au? Hawakuja hata kukagua mazingira ya kifo? Basi huyu Mbasha ni mtu mzito sana hadi yupo juu ya sheria.
majirani wenyewe type ya kina mamaaaaa minaaaaaa
Mimi pia nimeshangaa...watu wanachukulia kifo kitu cha mchezo...hasa cha kukinyonga ni utata mtupu...lazima uchunguzi ufanyike kama alijiua kweli au lah...
Lakiiini hem ngoja kwanza,
Hiyo barua ina maana marehemu alienda kuipost kwanza ndo akajiua?
Kama walikuwa wanaish wawili tu ina maawma ema alikuwa wa kwanza kukuta mwili,ryt?hakuiona hyo barua?
Halaaafu kwan ni lazima aweke msiba?c marehemu ana ndugu?ç walipewa taarifa?pôlice nao c waliambiwa?
Nawaza tu!
Me mwenyewe naendaga msibani kupata ule umbea exclusive (Ee Mola nisamehe) Manake anatetwa kuanzia marehemu, watoto wake hadi ndugu zake...baada ya hapo mnahamia kwa jirani mmoja mmoja...sasa ukute msiba una watani...weeeh utachokaa....
Binamu nenda, usisahau shuka...unaweza kukuta majirani wameweka tanga lao kwa uchungu....hahahaaaa
Manake huku kwetu ulitokea msiba, sasa mwenye nyumba zimempungua kichwani akawabalasa majirani...kwani waliondoka? Ndo kwanza wakahamishia tanga nyumba ya jirani....chezzeyyyyaaaa....
Heeeee jamani hiv frola tumbo lishakua kubwa eeeeeee
Huyu mario kumbe shoga tena
Nlitaka kusema hivyo hivyo...hao majirani nao wambea..Jamaa hajaweka matanga...wanaona wamebaniwa chance ya kupiga umbea....manake watu wanatetana msibani hadi wanajisahau wanaanza kumteta marehemu..utasikia "twende mbele na kurudi nyuma, marehemu alikuwa anaringa lakini...eeh Mungu amrehemu huko aliko"......khaaaa
Umbea raha lakini.. ....
Mwenzangu kwenye msiba ata kama una bifu na mtu lazima liishe kwa sababu ya umbea, maana wengine wakiwa hai wanajishaua, wanaficha ndugu zao, umri wao, maisha yao na kila kitu, ila siku ya mazishi mwenzangu ndo tunajua kila kitu, kumbe marehem alikuwa ana watoto 9 na aliishia darasa la saba, mi napendaga sana kwenye kipengele cha WASIFU WA MAREHEMU, uwiiii yani masikio yangu uwa yanadinda kama dish la DSTV maana hawarudiagi wale so pale nategesha masikio,ubungo na kila kitu kusikiliza, nikitoka apo naenda kusambaza umbea kumbe marehemu aliishia darasa la pili kujishau kote kule