Janga jingine lamkuta Emmanuel Mbasha, inadaiwa kaficha habari kuhusu mfanyakazi wake aliyejinyonga

Janga jingine lamkuta Emmanuel Mbasha, inadaiwa kaficha habari kuhusu mfanyakazi wake aliyejinyonga

Joseph Ngilisho, ARUSHA
KIMENUKA! Ndoa iliyodumu kwa miaka 15 kati ya Wiston Lotta (52) na Pamella Geofrey (40) imevunjwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kufuatia ushahidi mzito uliotolewa mahakamani hapo kumridhisha Hakimu Hawa Mghuruta.
Askofu Mkuu wa Huduma na Ngurumo ya Upako, George David ‘Geor Davie’.
Askofu Mkuu wa Huduma na Ngurumo ya Upako, George David ‘Geor Davie’ yenye makao makuu yake jijini Arusha ndiye aliyetajwa na mahakama hiyo kuwa ni chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hiyo ya Pamella ambaye alikuwa ni sekretari wa kiongozi huyo wa dini baada ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS) ukionesha mapenzi kunaswa kwenye simu ya mwanamke huyo ukitokea kwa Geor Davie.
Askofu Geor Davie akiwa na wasaidizi wake.
Ushahidi uliotolewa na mwanaume ulidai kuwa mgogoro wa ndoa yake ulitokana na mkewe kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Askofu Geor Davie.
Akisoma hukumu ya kesi hiyo Namba 01 ya mwaka 2012, Hakimu Mghuruta alisema kabla ya hukumu, mahakama ilizingatia ushahidi wa mashahidi watano wa upande wa mlalamikaji.Mke wa mtu Pamella Geofrey (katikati) anayedaiwa kutoka kimapenzi na boss wake, Askofu George David ‘Geor Davie’.
Alimtaja mtoto wa kwanza wa wanandoa hao, Sifael Wiston (15) kwamba naye aliieleza mahakama hiyo namna mama yake alivyokuwa akizini nje ya ndoa kwa kukutana na Geor Davie ndani ya gari lake lenye rangi ya silva wakati wa usiku baba yake akiwa safarini.
Mtoto huyo alianika kwamba, walikuwa wakipelekewa juisi na bajia ndani ya gari hilo lenye pazia kisha wao kufunga vioo kwa muda mrefu huku likionekana kutikisika, ushahidi ambao uliwashangaza waumini wa kanisa la askofu huyo.
Askofu George David ‘Geor Davie’ akitoa huduma ya maombezi kwa waumini.
Wiston ambaye alikuwa msaidizi wa Geor Davie, alifungua kesi ya kudai talaka kwa Pamella ili kufikia ukomo wa shauri hilo ambalo lilianza kusikilizwa na Baraza la Usuluhishi wa Ndoa mwaka 2007 lakini ilishindikana kwa vile mkewe alipeleka sababu za uongo kuwa alikuwa akinyanyaswa hivyo kuikimbia nyumba.
Hakimu Mghuruta ameamuru mali zote yakiwemo magari matatu, nyumba iliyopo Sakina na vitu vingine zibaki chini ya mlalamikaji lakini Pamella anaruhusiwa kwenda kuwasalimia watoto wake. Hata mk hivyo, mahakama ilimtaka Pamella kutowarubuni watoto hao kiasi cha kuathiri masomo yao.
 
Binamu asikwambie mtu, HAKUNA UMBEA MTAMU KAMA WA MSIBANI, siku hiyo utajua kila kitu, watu wanajishaua kukesha na kuji keep busy na msiba kumbe hakuna lolote wanataka umbea tu, chezeya , mi ndo navaa niende tabata nikawasikie majiran uko

Me mwenyewe naendaga msibani kupata ule umbea exclusive (Ee Mola nisamehe) Manake anatetwa kuanzia marehemu, watoto wake hadi ndugu zake...baada ya hapo mnahamia kwa jirani mmoja mmoja...sasa ukute msiba una watani...weeeh utachokaa....

Binamu nenda, usisahau shuka...unaweza kukuta majirani wameweka tanga lao kwa uchungu....hahahaaaa

Manake huku kwetu ulitokea msiba, sasa mwenye nyumba zimempungua kichwani akawabalasa majirani...kwani waliondoka? Ndo kwanza wakahamishia tanga nyumba ya jirani....chezzeyyyyaaaa....
 
Jamani best....msiba ni jambo la kuficha kweli?si unawaeleza majirani mnasaidiana...umeona wapi msiba wa wanandugu pekee???
Kuna jambo hapo tena zito ndio maana jamaa akafanya siri...lakini kuna siri dunia hii?mbona tumeshajua...

walijuaje km kuna msiba
wao walijuaje kaacha ujumbe?!!
na kwa mapito ya mbasha bora alivyofanya siri mi simlaumu
cha msingi mamlaka kamili wana taarifa baas
halafu yule ni house boy sio ndugu yake kwao singida
ye msiba hakuwa na haja ya kutangaza km kampeni kawaambia polisi wamesafirsha
na kingine kaepuka bajeti mwenzangu na magharama
hapo ndo hawajaambiwa
 
Majanga yanazidi kumuandama aliyekua mme wa muimbaji maarufu Frola Mbasha, akiwa bado ana kesi mahakamani akidaiwa kumbaka ndugu yake hili ndio janga jingine lilimkuta Emmanuel Mbasha. Janga hilo ni la kufariki kwa mfanyakazi wake wa ndani ambae alijinyonga ijumaa iliyopita.

Inadaiwa kua Emmanuel na mfanyakazi huyo walikua wakiishi wawili tu ndani ya nyumba ya Emmanuel, lakini kitu cha kushangaza zaidi ni pale mfanyakazi huyo alipojinyonga.

Inavyosemekana Emmanuel hakutoa taarifa kwa majirani kuhusu tukio hilo badala yake alitoa taarifa polisi na kisha kuusafirisha mwili wa marehemu kwa siri sana kwenda kumzika Singida.
mbona hii habari imekaa kishigongo shigongo tu?
 
Heeeee jamani hiv frola tumbo lishakua kubwa eeeeeee
Huyu mario kumbe shoga tena
 
UMBEA wa msibani raha bwana, maana utajua A to Z , utajua kila kitu kuhusu marehemu, mi ndo maana misiba hii uwa sikosi maana najua ntapata maumbea ya kumwaga, hata kama mtu simjui nikisikia tu huo msiba ni wa aina yake au una utata lazima nitie team

Hhhhhhhaa,bina nipe power bank moja,umeme huku hakunaaa
 
yaani mtu ukiwa na doa mean alama ya nuksi bado kila mahali utakapoenda tukio likitokea wanahusanisha na tatizo lako na kukuhisi wewe ndio umefanya .inaweza ikawa siyo kweli kakini jamaa kwa sababu ana alama basi watu wataamini ni kweli.......

kama itakuwa kweli basi huyo jamaa inabidi wampeleke kwa psychiatrist ili achunguzwe asije akwa anasumbulia ugonjwa wa akili kama mania...maana nasikia wagonjwa wenye mania huwa wanahamu sana na kugegeda
 
Daah eti kaenda kureport polisi, halafu akasafirisha kwenda singida! Yaani polisi wakampa ruhusa au? Hawakuja hata kukagua mazingira ya kifo? Basi huyu Mbasha ni mtu mzito sana hadi yupo juu ya sheria.

Mimi pia nimeshangaa...watu wanachukulia kifo kitu cha mchezo...hasa cha kukinyonga ni utata mtupu...lazima uchunguzi ufanyike kama alijiua kweli au lah...
 
Maadam kesha wajulisha polisi na wakampa go ahead bila kesi...basi haina shida.
 
Mimi pia nimeshangaa...watu wanachukulia kifo kitu cha mchezo...hasa cha kukinyonga ni utata mtupu...lazima uchunguzi ufanyike kama alijiua kweli au lah...

Hapa ndo najiuliza....hao polisi hawakuuchunguza huo mwili? Na ile barua ya marehemu imeandikwa nini humo ndani na ina uzito upi?
 
Duh! huku kumesheheni wambea na master zao yani mpaka nimepata kizunguzungu mtu unamkampenia mtu umbea kama unaishi nae chumba mimoja dah! hatari.
 
Lakiiini hem ngoja kwanza,
Hiyo barua ina maana marehemu alienda kuipost kwanza ndo akajiua?
Kama walikuwa wanaish wawili tu ina maawma ema alikuwa wa kwanza kukuta mwili,ryt?hakuiona hyo barua?

Halaaafu kwan ni lazima aweke msiba?c marehemu ana ndugu?ç walipewa taarifa?pôlice nao c waliambiwa?

Nawaza tu!

umewaza kama mimi mkuu
 
Me mwenyewe naendaga msibani kupata ule umbea exclusive (Ee Mola nisamehe) Manake anatetwa kuanzia marehemu, watoto wake hadi ndugu zake...baada ya hapo mnahamia kwa jirani mmoja mmoja...sasa ukute msiba una watani...weeeh utachokaa....

Binamu nenda, usisahau shuka...unaweza kukuta majirani wameweka tanga lao kwa uchungu....hahahaaaa

Manake huku kwetu ulitokea msiba, sasa mwenye nyumba zimempungua kichwani akawabalasa majirani...kwani waliondoka? Ndo kwanza wakahamishia tanga nyumba ya jirani....chezzeyyyyaaaa....

Mwenzangu kwenye msiba ata kama una bifu na mtu lazima liishe kwa sababu ya umbea, maana wengine wakiwa hai wanajishaua, wanaficha ndugu zao, umri wao, maisha yao na kila kitu, ila siku ya mazishi mwenzangu ndo tunajua kila kitu, kumbe marehem alikuwa ana watoto 9 na aliishia darasa la saba, mi napendaga sana kwenye kipengele cha WASIFU WA MAREHEMU, uwiiii yani masikio yangu uwa yanadinda kama dish la DSTV maana hawarudiagi wale so pale nategesha masikio,ubungo na kila kitu kusikiliza, nikitoka apo naenda kusambaza umbea kumbe marehemu aliishia darasa la pili kujishau kote kule
 
Heeeee jamani hiv frola tumbo lishakua kubwa eeeeeee
Huyu mario kumbe shoga tena

Mi nilihis tu maana siku izi binamu ukiona mwanaume handsome muogope, bora sura ngumu, kwan binamu msukuma wako n handsome kama mbasha? Usikute florah kakimbia vitu vingi kwa kweli, tutavijua tu
 
Attachments

  • 1415120531486.jpg
    1415120531486.jpg
    25.7 KB · Views: 200
Nlitaka kusema hivyo hivyo...hao majirani nao wambea..Jamaa hajaweka matanga...wanaona wamebaniwa chance ya kupiga umbea....manake watu wanatetana msibani hadi wanajisahau wanaanza kumteta marehemu..utasikia "twende mbele na kurudi nyuma, marehemu alikuwa anaringa lakini...eeh Mungu amrehemu huko aliko"......khaaaa

Umbea raha lakini.. ....

Kila ninapoona ID yako huwa nafananisha na yule daktari wa meno ya tembo Mh Profesa Captain Abdulrahman Kinana.
 
Mwenzangu kwenye msiba ata kama una bifu na mtu lazima liishe kwa sababu ya umbea, maana wengine wakiwa hai wanajishaua, wanaficha ndugu zao, umri wao, maisha yao na kila kitu, ila siku ya mazishi mwenzangu ndo tunajua kila kitu, kumbe marehem alikuwa ana watoto 9 na aliishia darasa la saba, mi napendaga sana kwenye kipengele cha WASIFU WA MAREHEMU, uwiiii yani masikio yangu uwa yanadinda kama dish la DSTV maana hawarudiagi wale so pale nategesha masikio,ubungo na kila kitu kusikiliza, nikitoka apo naenda kusambaza umbea kumbe marehemu aliishia darasa la pili kujishau kote kule

Lakinj kuisema au kuiteta maiti sio vizuri binam ooooh,japo kweli msibanii umbeaa haukosiii na ule kuanza kuchunguzana yule ni nani,kavaaje vile,wakiwa nazo pesa ndio kwanza watu hawaondoki msibaniiiii
Inaonyesha mbasha alikwepa kulisha nzengo
 
Back
Top Bottom