Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Nimeelewa baada ya kusikia video.Asante sana..mimi nilipotoka kudhani Rais wetu anasingiziwa
Dah!..kumbe ni kweli?

Ila siasa yetu ya mambo ya nje haipewi kipaumbele kabisa kwenye hii awamu, ni kama vile hatujali chochote hapo tumefeli sana kusema kweli.
 
Sikiliza au angalia hizo video
Magufuli ametajwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani pia tujivunie kwa kuwa na presida alopinda, analalamika akina mbowe kukwepa vikao kumbe yeye ndo nambali wahed kwa ukwepaji, na pension hasipewe
 
Hivi tele conference ina tatizo gani. Natumaini kila mmoja yuko kwake na yuko salama kwa corona.
 
Siku zote ukiona mtu mwepesi kutoa tusi fulani haraka ujuwe naye alitukanwa sana huko nyuma Sasa unamuita mtoto wa mwenzio Kilaza au eng mbele ya kadamnasi kuwa kilaza sasa Mungu anawajibia mbele ya Dunia katika wakati Eeee Mungu msaidie mja wako kuipunguza aibu hiii
 
Hivi tele conference ina tatizo gani. Natumaini kila mmoja yuko kwake na yuko salama kwa corona.
... teleconference inatisha asikwambie mtu! Kama haujajipanga inakutia aibu vibaya sana.
 
Hahahahaha hapo kwa logistics ndo pamenimaliza! 2015 baadhi yetu tuliona mbali ila kwakua sauti yetu ilikua ndogo tulipuuzwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani hawamshauri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…