Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA

Katika on phone conversation, inakuwaga shida maana uendeshwaji wake siyo kama ana kwa ana. Kila mmoja anakuwa kwake ....
Hata kwenye video conferencing translation inawezekana.Ila labda niseme kwamba sisi hatuna vifaa vinavyowezesha translation. Anyway,hitaji limeonekana,nadhani vifaa vitanunuliwa kama havipo.Hata hivyo wahusika wameahidiwa kwamba a written response will be sent,ingawa sidhani kwamba it is the best option under the circumstances.
 
Mkuu ulikurupuka kutokea Kujifukiza ama?😀
 
Mkuu kingereza si lugha tu Kama lugha zengne kisukuma,kihehe,kinyaksusa wala haimaanishi ndo kipimo cha akili ya mtu..

Naomba ulijue hiloo
Issue hapa ni lugha ya mawasiliano kwa mataifa mengi.Lakini hata hapa kwetu lugha rasmi kwa Elimu ya secondary hadi vyuo ni hiyo
Kujifunza lugha ya kimombo ili uweze kutumia lugha hii katika hesabu,fizikia,tabibu,biashara kuna hasara gani?
 
Nahisi network Chato haiko vizuri kumudu teleconference
Hakuna nchi rahisi kuitawala kama [emoji1241]

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania tunaugua UKOWANYE - ukondoo wa nyerere. Tutakapo pona wa kutosha ndio mabadiliko yanaweza kuingia vinginevyo tutaendelea kusagwa kama hao kondoo. Na bahati mbays gonjwa hilo lina ambukiza.
 
Kwenye mkutano kama huu mh Mbowe angetusaia, magu kubali Luna watu wamekuzizidi hata kama ni wapinzani wako kisiasa
 
Yaani tunakwepa hadi virtual (web-based) meetings? Tunashangaza sana kwa kweli
 
Kwenye mkutano kama huu mh Mbowe angetusaia, magu kubali Luna watu wamekuzizidi hata kama ni wapinzani wako kisiasa
Magu hawezi kuingia kwa Mbowe kwenye kujenga hoja na kujieleza. Mbowe ana exposure kubwa sana kimataifa. Magu huwa tunamuelewa sisi tu tunaomshabikia kama Simba na Yanga
 
... tangu lini mataga wakawa na uso wa haya mkuu? Hawana aibu wale! Wenye akili timamu kwa issue hii ni aibu.
Basi wataona jinsi ya kulibeba hili jambo, kwa furaha au huzuni, kwa aibu au shangwe. Wataamua wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…