Hiyo ingekuwa hoja kama watu wasio mashoga wangekuwa wanafanya mapenzi na wazazi wao au ndugu zao.Nimeamua kuiweka hoja yangu kwa namna hio kutaka kujua reality ikikutokea kwa mzazi wako , utakubaliana nae au ?
Achana nao nataka upande wako wewe.Hiyo ingekuwa hoja kama watu wasio mashoga wangekuwa wanafanya mapenzi na wazazi wao au ndugu zao.
Hoja yako tayari imeshakufa kibudu mkuu, leta hoja nyingine yenye logic.Achana nao nataka upande wako wewe.
😂😂 jibu swali si umesema ni uhuru wa mtu na maamuzi ya mtu kuamua kuwa shoga?Hoja yako tayari imeshakufa kibudu mkuu, leta hoja nyingine yenye logic.
Ukipita mtandaoni utasema mtaani kumeoza.Tulipofikia ni ngumu kupambana na ushoga sababu tumeiweka ni jambo la kawaida.
Mfano wewe hujawahi kumwambia mwanaume mwenzako "utagongwa"
MIMI NAFIKIRI MTAANI KUMEOZA KULIKO HATA MITANDAONI.Ukipita mtandaoni utasema mtaani kumeoza.
Mimi nilipozaliwa sijwahi sikia wala kuona shoga.MIMI NAFIKIRI MTAANI KUMEOZA KULIKO HATA MITANDAONI.
KUNA MAENEO YANAFANYIKA MAMBO YA AJABU NA YA HOVYO ILA KAMA HUNA TAARIFA ZA KUTOSHA UNAWEZA KUHISI UPO SEHEMU SALAMA.Mimi nilipozaliwa sijwahi sikia wala kuona shoga.
Kama yeye ameamua kuwa shoga sasa mimi nitaingiliaje maisha yake?!😂😂 jibu swali si umesema ni uhuru wa mtu na maamuzi ya mtu kuamua kuwa shoga?
Sasa mim nataka nijue wewe huu uhuru ukimkuta baba yako kwako, hili jambo utakuchukuliaje?
Best option ni kukaa mbali na hao watu, mazingira yao na kuepuka aina yeyote ya ushirikiano nao.KUNA MAENEO YANAFANYIKA MAMBO YA AJABU NA YA HOVYO ILA KAMA HUNA TAARIFA ZA KUTOSHA UNAWEZA KUHISI UPO SEHEMU SALAMA.
Mtaani nishawahi kukutana na shoga mara 1 tena nilienda SinzaUkipita mtandaoni utasema mtaani kumeoza.
Inatakiwa kuiishi msimamo kwa vitendo kabisa, raia wabongo wasitume iphone na iPad kabisa kwa sababu CEO wa Apple ni shoga, serikali iwe inafanya ukaguzi wa watalii kutoruhusu mashoga kuingia nchini.Best option ni kukaa mbali na hao watu, mazingira yao na kuepuka aina yeyote ya ushirikiano nao.
Toka lini mtu kama wewe ukawa na hoja hapa JF? vicomment vyako vyote hua ni vya kijinga jinga tu,Mujahideen huwa unafurahisha sana, sasa kama hata nikiwa shoga kweli hapa JamiiForum ambapo watu ni anyonomus utafanyaje zaidi ya kuishia kupayuka na kutokwa povu tu,
Save that energy na ujikite kupangua na kujenga hoja kwenye mjadala.
Hajawahi kua na hoja JF huyo,kutwa kumwaga vicomment vyake vya kijinga jinga tu.Huyu anajikuta na dp ya albert einstein
Alafu hata IQ yake haifikii robo hapo.😂😂
Mi hua naskiaga tu vijiweni. Na wanaopush hizo agenda wamejipanga sana na huenda wao sio mashoga ila wanafund movement we angalia michezo na burudani kulivojaaa hizo contents.Mtaani nishawahi kukutana na shoga mara 1 tena nilienda Sinza
Wasagaji nilikutana nao watatu
1. Mashoga ni dhana tu ya mabeberu lakini Tanzania hawapo.Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.
Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya jamii? Wapo wanaoamini kuwa hali hii imeendelea kuvumiliwa kupita kiasi na kwamba jamii inapaswa kuwa na msimamo thabiti katika kulinda maadili yake.
Familia na koo zinazojua kuwa kuna mtu mwenye mwelekeo huo ndani ya familia zao zinapaswa kutafakari kwa kina kuhusu maadili wanayoyasimamia. Baadhi ya watu wanaamini kuwa hakuna sababu ya kuunga mkono au kuhalalisha tabia ambazo zinaonekana kwenda kinyume na mila, desturi na mafundisho ya dini.
Samaki mmoja akioza, beseni zima huathirika. Kwa mtazamo huo, jamii inapaswa kukemea vitendo vinavyoonekana kuvunja maadili badala ya kuvifumbia macho.
Jifunzeni Kutoka Nchi Zenye Msimamo Thabiti
Acheni kutetea mambo ambayo kwa mtazamo wa wengi yanapingana na misingi ya maadili ya jamii. Nchi mbalimbali duniani zimeweka sheria na mifumo inayolenga kulinda maadili wanayoamini.
Kisa cha Sodoma na Gomora
Kwa mujibu wa simulizi za kidini, Sodoma na Gomora hutajwa kama mfano wa jamii iliyoadhibiwa kutokana na kuacha misingi ya maadili. Wanaoshikilia mtazamo huu huamini kuwa simulizi hilo linapaswa kuwa fundisho kwa jamii kuhusu umuhimu wa kusimamia maadili na misingi ya dini.
Nyie familia mnaoendelea kuunga mkono hali hizi ndani ya nyumba zenu, mnapaswa kutafakari kwa kina kuhusu nafasi yenu katika malezi na maadili ya jamii. Jamii inapaswa kuwa na msimamo wa kukemea na kutokubaliana na vitendo inavyoamini vinakwenda kinyume na misingi yake
KomeshaUshogaTanzania
OndoaLaanaMitaani
LindaKizaziChako
TokomezaUchafu
FamiliaBilaLaana
AmriKwaKooZote
SodomaNaGomora
KataaUshogaMtaani.
NIMEFINISH
Huwezi kuona shida ya ushoga mpaka siku wamfanyie mtoto wako au ndugu yako yeyote awe shoga.Mimi bado sijaiona shida ya ushoga mpaka muda huu. Shida ya majambazi na wauaji nimeiona mara nyingi tu kwangu na kwa watu wengine wanaonizunguka.
Wewe ushoga umekuletea shida gani mpaka sasa hivi??
Watanzania wengi kama hawa (mtia mada) ni wajinga sana hawaelewi kuwa ushoga ni haki ya watu tu, haki ya sexual orientation, mashoga wanatumia haki yao.CCM na mtandao wake ndio tatizo kubwa kuliko Ushoga kwa hapa Tanzania.