HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Umenisoma kote lakini au umecomment bila kuzingatia kukagua nilichoandika?๐Ÿค”
 
Nimekuelewa san
Nimekuelewa sana na nimegundua kwanini aiseee Kiranga
 
Punguza mihemuko kijana
Sijateleza mikono wala nini hapa mada inahusu mashoga wa kiume
Wewe unakuja na makasiliko kana kwamba nimegusa mslahi yako

Mbona wengine wana comment bila ku attack wenzao?
Mboni sijakuattack binti kule juu ulisema mwenyewe kwamba mwanaume kufirwa sio sahihi ila mwanamke kufirwa ni sahihi au hukusema hivyo?
 
Nahisi zinafutwa kwasababu kuna comments zimekuwa locked huwezi reply. Naona kuna mtu au watu huu mjadala unamgusa so anapambana kuzuia usiendelee kwa uwazi bali uende kwa namna anavyotaka yeye.
So sad
 
Nahisi zinafutwa kwasababu kuna comments zimekuwa locked huwezi reply. Naona kuna mtu au watu huu mjadala unamgusa so anapambana kuzuia usiendelee kwa uwazi bali uende kwa namna anavyotaka yeye.
Huyo mtu nimeshamjua saivi kila napo comment anakuja na matusi kisa tu nimesema mwanaume kushika ukuta ni ajabu aisee kawa mkali sana mbogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ