Watakuja vichaa wa Mataga hapa uone watakacho ongea ndio ushangae
Duh, watatuaaa hawaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukisimama nchale
Ukilala nchaleeee
Ukikimbia nchaleee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mmeishia wapi na ujenzi wa hiyo reli?Zitto huyu huyu aliyeita press na kuwaambia reli inayojengwa ni kutoka Dar mpaka Moro pekee?
UK court orders Air Tanzania to pay $30mn to Liberian lessor
Interested in Commercial Aviation/Business Aviation? Unlock exclusive news such as “UK court orders Air Tanzania to pay $30mn to Liberian lessor” today!t.co
Habari hii nimeisoma twitter kwa Zitto nikaona niwaletee wadau msipitwe.
Tuna appeal, hatukubali kwani sisi hakuna mawakili mahiri wakututetea. Tusichukue form four failure in Ndungai's voice
..UJINGA wote huu umesababishwa na CCM na serikali zake.
..CCM ndiyo wahujumu na wasaliti wa nchi hii.
Mtateseka sana mwaka huu jengeni kampuni yenu ya CHADEMA
Mnamuogopa Kwakuwa ni kiboko yenu.Mi sisomagi nyuzi yyte ya zito! We hixo nyuzi xisomee hukohuko.
Kwa jinsi unavyoandika tu!! Una haki ya kutokusoma.
Mtu unaandika sijui hixo, xisome.
Huko shule unaendaga kusomea ujinga!!???
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu nyie ndio mnataka tume huru wakat hata nyie mnaish na ccm kibifu bifu acheni ccm iwaingize vidole
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hili suala la zamani? Naona ni wakati wa Mattaka.
Mwanzo umeandika Kampuni ya Simu Tanzania, soma vizuri ulichoandika.Kampuni ya simu Tanzania yatakiwa kulipa kampuni ya wills dola za kimerekani Milioni 30.
Kwa mujibu wa gazeti la citizen la kesho tarehe 27/02/2020
Gharama ya kununua dollar kwa sasa ni kama dollar 1=Tzs 2320
View attachment 1369863
Huawei Nova 6 5G
Mi sisomagi nyuzi yyte ya zito! We hixo nyuzi xisomee hukohuko.
Kwa jinsi unavyoandika tu!! Una haki ya kutokusoma.
Mtu unaandika sijui hixo, xisome.
Huko shule unaendaga kusomea ujinga!!???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida ya mashoga,huwa hawapendi kujishughulisha.