Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Na bado mtapelekewa moto hadi mteme kibungo........wazuri hawafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipaswa kwanza kutuomba radhi Watanzania wote!
Katema nyongo.....Naomba nisimuwekee maneno Makamba.
Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Yes!! Big mouth!..Je, hizo flaws ndicho alichokieleza Mh.Makamba?
Sasa Mwizi wa mali ya umma unamfanyaje?..sasa kwanini Magufuli alichanganya mambo hayo mazuri na dhuluma za kufunga wanasiasa, kuiba uchaguzi, kunyang'anya pesa, kuharibu biashara za watu?
Huyo Hana moral authority kuongea chochote.
Magufuri kweli alikuwa katili ila ameshakufa na nimuda mrefu umeshapita kuendelea kumuongelea kwa mabaya yake naona kama ni kumsafisha Samia kwa kivuli Cha mabaya ya Magufuri, hii haisaiidii kitu viongozi wanatakiwa wajikite kutuletea maendeleo wananchi huyo Samia naye anatakiwa kukemea huu upuuzi maana hata yeye tutamjaji kwa alichokifanya ktk utawala wake na inawezekana hawa wanaomponda Magu wakaja kumponda na yeye pia.
Sasa Mwizi wa mali ya umma unamfanyaje?
Sasa mfanyabiashara aliyezoe fraud kiasi cha kusumbua wananchi mfano kwenye sukari, umeme, bei za bidhaa, wizi wa dhahabu, kukwepa Kodi - HAO UNAWAFANYAJE.
Wanasiasa wajinga wanaoshirikiana na wahujumu uchumi kuvuruga mipango ya Serikali, na kuwa financed na outsiders ili wadestabilize nchi na kuwa influenced na hata mataifa ya nje yanayofaidika na maliasili za nchi -HAWA UNAWAFANYAJE.
Vyama vya mchongo ambavyo unajua kabisa NI frame za biashara either Kwa kupata hela kutoka Kwa Serikali au mashirika ya nje, vyama ambavyo unajua wamagharibi wanamikono yao Kwa manufaa yao na si Watanzania -UTAVIACHA TU VISHINDE UCHAGUZI?
Huyo Hana moral authority kuongea chochote.
Tuna mengi ya kujadili.
Kamwe mdomo wa mchawi hauwezi Kutoa barka!!..inawezekana hana moral authority.
..lakini je alichokisema ni ukweli au uongo?
Naomba nisimuwekee maneno Makamba.
Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Yeye mwenyewe alinunua Wagombea wengine ili apite bila kupingwa , haaminiki na hatoaminika milele .Naomba nisimuwekee maneno Makamba.
Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Wewe..sio sahihi kusema Magufuli amekufa hivyo uovu wake usisemwe.
..kuna watu wanaendelea kuishi na machungu na vilema vilivyotokana na ukatili wa utawala wa Magufuli.
..njia sahihi ya kufanya ilikuwa ni Rais Samia kuandaa utaratibu wa kuwatambua waathirika wa ukatili wa Magufuli ili taifa liwaombe radhi na kuwafuta machozi.
..Mh.Makamba anasema wako wananchi walifungwa, walinyang'anywa pesa, walivunjiwa biashara. Kwanini wananchi hao hawatambuliwi na serikali ili watendewe haki?
waende..sio sahihi kusema Magufuli amekufa hivyo uovu wake usisemwe.
..kuna watu wanaendelea kuishi na machungu na vilema vilivyotokana na ukatili wa utawala wa Magufuli.
..njia sahihi ya kufanya ilikuwa ni Rais Samia kuandaa utaratibu wa kuwatambua waathirika wa ukatili wa Magufuli ili taifa liwaombe radhi na kuwafuta machozi.
..Mh.Makamba anasema wako wananchi walifungwa, walinyang'anywa pesa, walivunjiwa biashara. Kwanini wananchi hao hawatambuliwi na serikali ili watendewe haki?
waende mahakamani wakaishitaki serikali. Mambo ya kutaka serikali iwatambue sio sahihi. Hao kina makamba wanaweza kupenyeza watu wao ili walipwe na serikali hela wagawane. Wahuni sio watu. Kama vipi makamba awataje na biashara walizokua wanafanya..sio sahihi kusema Magufuli amekufa hivyo uovu wake usisemwe.