Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Jiwe alikuwa mshenzi sana. Asante mhe. January Makamba kwa kulisema hili ili dunia ijue. Na January ndiyo mwanaccm pekee uliyebakia kuwa na akili.

Mhe. January Makamba naomba uende mbali zaidi, kwa kuitaka serikali kifuta kumbukumbu zote za serikali zinazomtambua jiwe kama mmoja wa watu waliowahi kuwa marais nchi hii.
Na makamu wake itakuaje sasa!?
 
Stieggler Ile pale 2225MW - tunaweza kusahau kabisa shida ya umeme tukitumia akili.
Tanzania ya viwanda na kuhamasisha uwekezaji wa viwanda - Sasa hivi wote tumerudi kwenye uchuuzi.
Daraja la juu pale busisi - Mwanza.
Ujenzi wa reli ya kisasa Dar - Mwanza.
Kuifanya shillingi kuwa stable - Sasa hivi shillingi Kila siku inayumba.
Kuleta nidhamu ya utendaji serikali.
Kulifufua shirika la ndege lililokufa.
Kuboresha usafiri ziwa Victoria.
Kufanya watu waiogope na kuiheshimu dola.
Ujenzi wa miundombinu Kila Kona ya nchi.
Ujenzi wa masoko ya kisasa maeneo mbalimbali.
Ujenzi wa hospitali za rufaa Kila mkoa.
Kuboresha huduma za afya Kwa kununua vifaa vya kisasa (VP MRI nzima pale Muhimbili?).
Kujenga smelter ya Dhahabu pale Mwanza.
BOT kuanza kununua dhahabu na kuweka reserve ( Vipi ile reserve bado IPO?).
Kudhibiti utoroshwaji wa madini.
Kuruhusu wachimbaji wadogo wadogo kupewa maeneo na kuchimba ( Sasa magiants wameanza kuhodhi maeneo na kufanya udalali Kwa Wazungu na wachina).
Kudhibiti matumizi ya hovyo ya serikali ( watu wanapishana angani tu Sasa hivi, na mijengo wananunua).

HAYO YOTE NDANI YA MIAKA SITA.
HATUTAKI BLAH BLAH TUNATAKA MATOKEO CHANYA.
Mengi kati ya haya uliyoyaorodhesha hapa hata wakoloni waliyafanya na watu walidai uhuru.

Maendeleo ni maendeleo ya watu mkuu. Na demokrasia ni pale individual anapofeel yupo free and unharrassed kwenye nchi yake.
Watu wakiona hawako huru, na serikali haipo kwa ajili yao na haitokani na matakwa yao yaani wamepoteza yale mamlaka yanayowatambua kuwa wao ndo wenye nchi, hayo yoote uliyoyaandika hapo yanakua hayana maana kiongozi.

Utu ni kitu cha maana kuliko vitu.
 
Jiwe alikuwa mshenzi sana. Asante mhe. January Makamba kwa kulisema hili ili dunia ijue. Na January ndiyo mwanaccm pekee uliyebakia kuwa na akili.

Mhe. January Makamba naomba uende mbali zaidi, kwa kuitaka serikali kifuta kumbukumbu zote za serikali zinazomtambua jiwe kama mmoja wa watu waliowahi kuwa marais nchi hii.
Ulifanikiwa kurudiana na yule mwanaume aliyekuacha na mimba.?
 
CCM wanapigana madongo kama vile huyo Magufuli hakuwa mtu wa CCM.

January anasema kweli kuhusu Magufuli, na hakuanza kuongea haya leo, tunayeongea naye tunajua.

Lakini, ukweli huu unaoonesha CCM kuwa ni chama kisicho makini. Kimempitisha mwendawazimu awe rais, halafu kikashindwa kumdhibiti.
Na makamu wa mwendawazimu je?
 
Sikuwahi kumkubali yule dikteta mshenzi kutoka Burundi.

Ila haka kajamaa kalikoiba mtihani kidato cha 4 kanasahsu kuwa kenyewe pia ni zao la wabunge wa mtutu walioachwa bungeni na yule dikteta ?

Wizara ya nishati kamefanya dili za kifisadi na wahuni wenzie wameiacha hoi taaban halafu wakgahamishwa wizara.
Wizara ya nishati imeachwa hoi, kwani iliwai kuwa imara?.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Yeye mwenyewe alinunua Wagombea wengine ili apite bila kupingwa , haaminiki na hatoaminika milele .

2015 alikuwemo kwenye ile ofisi ya masaki kuiba kura , nani atamuamini huyu ? ukiacha kuwa ni mtoto wa kiongozi hakuna chochote unachoweza kuonyesha alichokifanya January Nchi hii tangu azaliwe zaidi ya wizi wa mitihani Galanos

Kwa ufupi ni kwamba ccm yote imeoza , ing'olewe kabisa
Watu wanajitoa ufahamu!!

Motive behind ya anachokisema ni unafiki tu.

Mwizi wa kura anawezaje kutufundisha juu ya kuheshimu Sanduku la kura?
 
Hii speech ukiisikiliza kwa akili sana, ina jambo kubwa sana, Kalemani na Ndungai, na Dotto James, Polepole na Bashiru walikuwa wanamsalimia mama wanapojisikia, na wanaweza hata kumpita bila salamu wanakimbia aliposimama JPM
 
The problem is, our politics are being hijacked by a comparatively small number of people who seek to dominate the debate by screaming the loudest. They see the our country as an urgent struggle between true believers and nonbelievers.
And they attempt to impose strict litmus tests and insist on conformity. They demonize dissent and consider all political opponents their enemies. Fear is their favourite tactic as they try to divide and conquer.
 
Hatutakubali kudanganywa kibwege
Ujinga ni wakati wa kwenda tu!!!

Ikiwa amedhamiria kusema Kweli aseme wazi kuwa " Ile miswada kuhusu uchaguzi iliyoletwa bungeni ni BATILI",

Na aseme wazi kuwa anaunga mkono HOJA ya Kupata Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.

Tofauti na hapo, ajiandae kurudi kijijini maana naye anaweza asirudi bungeni.
 
Na makamu wa mwendawazimu je?
Makamu wa Mwendawazimu lazima awe Mwendawazinu Squared.

Maana kama angekuwa ana akili timamu angejiuzulu tu asiwe Makamu wa Mwendawazimu.

Ila labda alijua methali ya Kiswahili ya "Funga kombe, mwanaharamu apite".

Sasa, mwanaharamu kapita, anakula mema ya nchi.

So, labda ni Mama Makaveli, si Mwendawazimu Squared.
 
Back
Top Bottom