Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamdhibiti na katiba inamruhusu!? Utawezaje!?CCM wanapigana madongo kama vile huyo Magufuli hakuwa mtu wa CCM.
January anasema kweli kuhusu Magufuli, na hakuanza kuongea haya leo, tunayeongea naye tunajua.
Lakini, ukweli huu unaoonesha CCM kuwa ni chama kisicho makini. Kimempitisha mwendawazimu awe rais, halafu kikashindwa kumdhibiti.
Huyu jamaa alikuwa kijana mdogo sana wa sura kabla hajajiingiza kwenye siasa za vyama. Nini kilimtokea?Makamba Yuko Sawa kabisa
View attachment 2929075
Yaani Magufuli alikuwa mpole mimi ningeyanyonga hadharani kwa manufaa ya taifa na vizazi vijavyoWewe ndio ungekua WA kwanza
🤔Huyu uwezo kichwani hamna anabebwa na Jina la Mzee wake. Wao ni Wazuri hawafi, lkn cha ajabu wanaendelea kugombana na Kivuli cha mfu JPM.
🤣🤣🤣Jiwe alikuwa mshenzi sana. Asante mhe. January Makamba kwa kulisema hili ili dunia ijue. Na January ndiyo mwanaccm pekee uliyebakia kuwa na akili.
Mhe. January Makamba naomba uende mbali zaidi, kwa kuitaka serikali kifuta kumbukumbu zote za serikali zinazomtambua jiwe kama mmoja wa watu waliowahi kuwa marais nchi hii.
Uko sahihUnawezaje kusema uchaguzi ulikuingiza bungeni haukuwa huru halafu unabaki kung'ang'ania podium na ubunge?
kama kweli unamaanisha kaa pembeni kama alivyowahi kujiuzulu Hayati Mwinyi.Other wise funga mdomo na usifanye watanzania wajinga.
RiP John Pombe Magufuli
Well !Just a myth?...
Kwa kisukuma huwa tunasema alikuwa ‘Anayabhula “ 😅😅🙏Natafakari tu maana mambo mengine huja kama Muujiza
Kama 2020 Uchaguzi haukuwa Huru na Haki na Jaji mkuu ameshafikisha muda wake wa kustaafu, tutampata wapi sisi mtu ambaye Mungu wa mbinguni anakaa ndani yake?
Yawezekana maneno yale hajanena Makamba bali ni Roho Mtakatifu
Nawatakieni Sabato Njema 😄🔥
HAKUNA WATU WATAOUNGUZWA NA MOTO MBAYA KAMA WANASIASA TENA HUSUSAN WANASIASA WA TANZANIA.Naomba nisimuwekee maneno Makamba.
Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
Yaliyopita si ndwele tugange ya sasa na yajayo 🐒Unawezaje kusema uchaguzi ulikuingiza bungeni haukuwa huru halafu unabaki kung'ang'ania podium na ubunge?
kama kweli unamaanisha kaa pembeni kama alivyowahi kujiuzulu Hayati Mwinyi.Other wise funga mdomo na usifanye watanzania wajinga.
RiP John Pombe Magufuli
Unawezaje kusema uchaguzi ulikuingiza bungeni haukuwa huru halafu unabaki kung'ang'ania podium na ubunge?
kama kweli unamaanisha kaa pembeni kama alivyowahi kujiuzulu Hayati Mwinyi.Other wise funga mdomo na usifanye watanzania wajinga.
RiP John Pombe Magufuli
Kweli kabisa
Wazuri hawafi sijui mtaalam wao kaona nini huko maana sahivi wanaropokaropoka tu
apumzike kwa amani.
Mnadanganyana kwa sababu hamna utamaduni wa kuupenda wala kuuzoea ukweli.Kweli kabisa ili waonekane wanatenda haki , nchi hii Ina wanafiki wengi sana
Tunahitaji JPM mpya wa kuja kufundisha Adabu maana kwa Sasa tumepoteza dira