Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
- Thread starter
- #21
Ni kweli hali yake kimaisha ni zaidi mara 1000 kuliko sisi washinda JF. Ukweli ni kwamba, matamanio yake yataniathiri mimi mlala hoi, ndio maana nashinda hapa mtandaoni kumtetea yule atayenipa mkate.Umekaa unamuombea mwenzako mabaya wakati Hali yake kimaisha ni zaidi Yako mara makumi elfu.
Fanya Yako achana na maisha na ndoto za wengine. Havikusaidii
Kamwe sitokaa kimya kumuona mchafuzi kajitokeza na kutaka kuhadaa watu eti yeye ndie bora.