Hawa watu inatakiwa wapewe sumu, hawafai kwa ustawi wa taifaWanaweza kuwa rais wakiamua kama walivyoamua kwa JPM.
Huu ukoo wa makamba na Jpm ni ukoo hatari sana kwa taifa letu..hakuna wanachokiwaza zaidi ya kujilimbikizia mali tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu inatakiwa wapewe sumu, hawafai kwa ustawi wa taifaWanaweza kuwa rais wakiamua kama walivyoamua kwa JPM.
Huu ukoo wa makamba na Jpm ni ukoo hatari sana kwa taifa letu..hakuna wanachokiwaza zaidi ya kujilimbikizia mali tu.
Huko yupo kimyaaaaa, pengine anatuma watu wamsemee.Kazi yake ilikiwa kususa, mana akiwa hakubaliani na rais aliepo, humsikii kabisa! Hatujawahi kuwa na waziri wa mambo ya nje kimya namna hii
Hapa ndio atajimaliza kabisa kisiasa. Sijui kama kuna dozi anaweza ipata ya kubadili gia ya sasa. La kumshauri ni kuendelea kugombea ubunge tu na akipata uwaziri ashukuru.Halafu kuna wengine wamemshauri akabadili dini awe mkristu kwa vile mama yake ni Mkrist, ili baada ya Samia Muislamu aje yeye na kofia ya Ukristu.
Naunga mkono hoja. Januari Makamba hata kama ataruhusiwa kuwa na dini zote mbili yaani Ukristu na Uislamu, hawezi kuwa Rais wa Tanzana mpaka anakufa.
Yeye tayari ni mtu anayesemwa na anayetaka kama vile Edward Lowassa na Maalim seif Hamad walivyoutaka Urais wa Tanzania na ZNZ kuanzia miaka ya 1990s. Hawa Lowasa na Seif walisemwa na walitaka sana na wamekufa hawajapata uRais wa Tanzania.
Urais wa Tanzania utapewa na Mungu tu kama alivyopata A H Mwinyi (badala ya Salim Ahmed Salim aliyesemwa sana na kupendwa na Nyerere) au BW Mkapa(badala ya Malecela na Kolimba waliosemwa sana). Hata Kikwette alipata mbele ya Fredrick Sumaye, Salim, Kigoda na Mwandosya waliokuwa vipenzi vya Mkapa na Magufuli alipata badala Benard Membe na Lowassa ambao waliigawa NEC ya CCM.
Mfano wa mwisho ni Rais wa sasa ambaye ameteremshiwa na Mungu tu baada ya JPM aliyetajs kutawala milele.
Hapa ndipo alibidi kuwahakikishia wananchi kuwa anaweza. Lakini kinyume chake tulikuwa tunasikila stori tu, mara usambazaji, mara Jpm, mara nidhamu ya uoga. Basi mradi ni mastori tu.Alipopata uwaziri wa nishati alitumia muda mwingi kusingizia matatizo ya umeme yamesababishwa na Magufuli lakini mwisho wa siku hakuna cha maana alichokifanya. Unafiki mbaya sana
Si kwa kasi hii ya utekelezaji wa miradi aliyonayo. Kwenye umeme watanzania hawatamsamehe. Mwenzake miezi 6 tu anatangaza kuondokana na shida ya umeme.Hadi Sasa kwenye duru za siasa za Tanzania bara, January Makamba anaonekana ndiye mtu atakayemrithi Samia,jamaa watu wamempigia kelele akiwa nishati,akahamishiwa wizara ya mambo ya nje kimkakati,akitoka huko... anajua mikakati yote,ndani ya chama,ni kutekeleza tu kuingia Ikulu.
Wewe ni pimbi kabisa. Mtu katoka nishati ambayo Samia alimpa fedha zote za kukarabati mitambo, akaishia kutuachia mgawo wa umeme mkali kuliko hata ule wa 1993 wakati wa Mwinyi. Huyu ndiye waziri kilaza kuliko wote, yupo hapo kwa sababu ya JK na baba yake tu. Ila uwezo ni ZEROHadi Sasa kwenye duru za siasa za Tanzania bara, January Makamba anaonekana ndiye mtu atakayemrithi Samia,jamaa watu wamempigia kelele akiwa nishati,akahamishiwa wizara ya mambo ya nje kimkakati,akitoka huko... anajua mikakati yote,ndani ya chama,ni kutekeleza tu kuingia Ikulu.
Mbona kama wewe ndiye unateseka zaidi ya muhusika 🤔🤔🤔Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa.
Atajitahidi sana, atakusanya watu, atakuwa kwenye makundi pendwa na hata nyakati nyingine atafika katika 5 bora, lakini kamwe hatachaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia CCM.
Hata akifanya kama Lowassa, kuhamia upinzani nako atachaguliwa kuwa mgombea wa Urais lakini safari itaishia kama ile ya Mh Lowasa.
Mkuu hii nchi huijui na vituko vyake, mpaka Jiwe aliwahi kuwa Rais sembuse huyo JanuaryHuyu jamaa hana chochote alichowahi kukifanya au hata kukisema tu cha kuonyesha kuwa anafaa kuwa rais. Kazi yake ni kupiga picha huku ameiga mapozi ya Obama. Hafai kabisa. Hata ubunge hafai. Hata uwaziri hafai.
Kumbe shida ni kuwa wewe hutaki awe Rais na siyo hayo uliyoyaandika hapo juuNi kweli hali yake kimaisha ni zaidi mara 1000 kuliko sisi washinda JF. Ukweli ni kwamba, matamanio yake yataniathiri mimi mlala hoi, ndio maana nashinda hapa mtandaoni kumtetea yule atayenipa mkate.
Kamwe sitokaa kimya kumuona mchafuzi kajitokeza na kutaka kuhadaa watu eti yeye ndie bora.
Umesema ukweli,ila sa100 hakuwahi kuwaza kuwa Rais so kutegemea mikakati mizuri toka kwakeJanuary Makamba ni akili kubwa sana kuliko watanzania wengi sana. Huyu ndiyo anastahili kupewa urais, siyo hawa akina jiwe na Sa100. Jiwe alikuwa na wazimu, sa100 ni kama haelewi afanye nn.
Huyo Jiwe wako ndiye chanzo cha matatizo hapa nchini, kaa kwa kutulia ma usukuma gang wakoHacha kuwa na Iman na hicho chama mkuu,chadema kishajifia kitambo..Mtu kama mbowe anashinda ikulu anatoboa siri za chama ili apate ruzuku na wewe bado una imani na hicho chama mkuu?.
Ccm ni chama cha hovyo sana ndio maana tunatafuta walau aliye msafi kwenye hicho chama atupatie machache kama alivyofanya JPM.
Tatizo la ccm haiamini katika kumwandaa mtu ,swala la kuiga miondoko ya Obama sio Sheria za nchi ,mmeshashauriwa na vyama vingine ingieni barabarani kuonyesha hisia zenu ipatikane katiba mpya. Bila hivyo walaji ndani ya ccm na serikali uliyozungumza Wala hawatasikia mana ameshaandaliwaHaya hapa...
January huyu huyu ambae alifeli vibaya sana pale Tanesco ndo aje aweze iongoza hii nchi yenye watu 61M? acha kuota mkuuJanuary Makamba ni akili kubwa sana kuliko watanzania wengi sana. Huyu ndiyo anastahili kupewa urais, siyo hawa akina jiwe na Sa100. Jiwe alikuwa na wazimu, sa100 ni kama haelewi afanye nn.
Huyo si mwenzake bali ni kiongozi wake, hivyo anaruhusiwa kutoa assessment yake. Mpiga kura yeyote anaruhusiwa kufanya hivyo. Ata ccm uwa inafanya utafiti kujua nani anakubarika kwa wananchi.Umekaa unamuombea mwenzako mabaya wakati Hali yake kimaisha ni zaidi Yako mara makumi elfu.
Fanya Yako achana na maisha na ndoto za wengine. Havikusaidii
Ni vijana wake wa mtandaoni wanaoishi kwa ujira anaowapa wakiposti kumteteaMbona kama wewe ndiye unateseka zaidi ya muhusika 🤔🤔🤔
Hakika.Tatizo la ccm haiamini katika kumwandaa mtu ,swala la kuiga miondoko ya Obama sio Sheria za nchi ,mmeshashauriwa na vyama vingine ingieni barabarani kuonyesha hisia zenu ipatikane katiba mpya. Bila hivyo walaji ndani ya ccm na serikali uliyozungumza Wala hawatasikia mana ameshaandaliwa