Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

Umekaa unamuombea mwenzako mabaya wakati Hali yake kimaisha ni zaidi Yako mara makumi elfu.

Fanya Yako achana na maisha na ndoto za wengine. Havikusaidii
Ni kweli hali yake kimaisha ni zaidi mara 1000 kuliko sisi washinda JF. Ukweli ni kwamba, matamanio yake yataniathiri mimi mlala hoi, ndio maana nashinda hapa mtandaoni kumtetea yule atayenipa mkate.

Kamwe sitokaa kimya kumuona mchafuzi kajitokeza na kutaka kuhadaa watu eti yeye ndie bora.
 
Sawa apitie CHAUMA ,au ACT n.k chadema wamejifunza nakujua wapi walikose , 2025 uchaguzi ukifanyika mtajua hamjui nyie ccm asema Bwana
 
Kamwe hatokuja kuwa Rais wa Tanzania!
 
Lowasa alikuwa taniri Toka kwao

Huyu dogo mpaka aibe, Ile nyumba yake usd 25mill iliyoko Dubai imezama kwenye maji
 

Makamba. Mwigulu Nape na Kidoti( Rizwan JK)

Wote watapita njia ya Edo

Hawa wasahau hawatoupata hata kwa damu.
 
January Makamba ni akili kubwa sana kuliko watanzania wengi sana. Huyu ndiyo anastahili kupewa urais, siyo hawa akina jiwe na Sa100. Jiwe alikuwa na wazimu, sa100 ni kama haelewi afanye nn.
 
Hata kwa Lowassa msoga alikuepo. Wembe unatabia yakunyoa zaidi ya mtu mmoja
ungenielewa kwann msoga asiwepo labda ,huyo ndo messenger wao wote wawili Toka akiwa dogo

Lowasa na msoga walikuwa gombania nafasi Moja makamba hagombanii na wao
 
Aje mtaani kwetu tumpe uraisi!
 
Makamba hana mvuto wa kiasa na ni mchafu sn
 
Umeongea ukweli kabisa, pasi na shaka
 
Naomba kujua. Mtajwa hapo juu ni Mhaya au Msambaa. Aulizae ataka kujua na si ukabila
 
Samia ndio anapaswa kuondoka kwenda kulea wajukuu hakuna ngekewa kwenye utumishi wa Ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…