Januari Makamba atapita njia ya Hayati Lowassa katika safari yake ya kisiasa

Wanaweza kuwa rais wakiamua kama walivyoamua kwa JPM.
Huu ukoo wa makamba na Jpm ni ukoo hatari sana kwa taifa letu..hakuna wanachokiwaza zaidi ya kujilimbikizia mali tu.
Hawa watu inatakiwa wapewe sumu, hawafai kwa ustawi wa taifa
 
Kazi yake ilikiwa kususa, mana akiwa hakubaliani na rais aliepo, humsikii kabisa! Hatujawahi kuwa na waziri wa mambo ya nje kimya namna hii
Huko yupo kimyaaaaa, pengine anatuma watu wamsemee.
 
Hapa ndio atajimaliza kabisa kisiasa. Sijui kama kuna dozi anaweza ipata ya kubadili gia ya sasa. La kumshauri ni kuendelea kugombea ubunge tu na akipata uwaziri ashukuru.
 
Hadi Sasa kwenye duru za siasa za Tanzania bara, January Makamba anaonekana ndiye mtu atakayemrithi Samia,jamaa watu wamempigia kelele akiwa nishati,akahamishiwa wizara ya mambo ya nje kimkakati,akitoka huko... anajua mikakati yote,ndani ya chama,ni kutekeleza tu kuingia Ikulu.
 
Alipopata uwaziri wa nishati alitumia muda mwingi kusingizia matatizo ya umeme yamesababishwa na Magufuli lakini mwisho wa siku hakuna cha maana alichokifanya. Unafiki mbaya sana
Hapa ndipo alibidi kuwahakikishia wananchi kuwa anaweza. Lakini kinyume chake tulikuwa tunasikila stori tu, mara usambazaji, mara Jpm, mara nidhamu ya uoga. Basi mradi ni mastori tu.

Nafikiri aliko anajuta kwa nini alipoteza nafasi nyeti kama hiyo. Pole zake.
 
Si kwa kasi hii ya utekelezaji wa miradi aliyonayo. Kwenye umeme watanzania hawatamsamehe. Mwenzake miezi 6 tu anatangaza kuondokana na shida ya umeme.
 
Huwa nasema my theory ni kuwa ukitaka cheo cha boss ili uoneshe watu unajua zaidi yake daima hutofika popote maana mzigo anaobeba boss huwezi kujua uzito wake na jinsi anafanya kuongoza , mambo mengi huwa siri ya mtungi .
Hawa kina Maropu na Mr Singapore Stone watausikia urais kwa wengine tu. Watagawa mitungi million ya gesi na kuchora mawe nchi nzima na hawatoonja urais. Sio majaaliwa yao because they want to prove to us for doing sth they have no clue.

Halafu ukipanga mafaili na tamaduni zetu ni kuwa rais ajae mwaka 2030 ni mkristo na ni wa makamo hawa vijana wangewaza labda uwaziri mkuu. Tuwaambie ukweli watulie.
 
Wewe ni pimbi kabisa. Mtu katoka nishati ambayo Samia alimpa fedha zote za kukarabati mitambo, akaishia kutuachia mgawo wa umeme mkali kuliko hata ule wa 1993 wakati wa Mwinyi. Huyu ndiye waziri kilaza kuliko wote, yupo hapo kwa sababu ya JK na baba yake tu. Ila uwezo ni ZERO
 
Mzee wa Ubatizo wa Moto ak.a Baba yake atampambania.
 
Mbona kama wewe ndiye unateseka zaidi ya muhusika 🤔🤔🤔
 
Huyu jamaa hana chochote alichowahi kukifanya au hata kukisema tu cha kuonyesha kuwa anafaa kuwa rais. Kazi yake ni kupiga picha huku ameiga mapozi ya Obama. Hafai kabisa. Hata ubunge hafai. Hata uwaziri hafai.
Mkuu hii nchi huijui na vituko vyake, mpaka Jiwe aliwahi kuwa Rais sembuse huyo January
 
Kumbe shida ni kuwa wewe hutaki awe Rais na siyo hayo uliyoyaandika hapo juu
 
January Makamba ni akili kubwa sana kuliko watanzania wengi sana. Huyu ndiyo anastahili kupewa urais, siyo hawa akina jiwe na Sa100. Jiwe alikuwa na wazimu, sa100 ni kama haelewi afanye nn.
Umesema ukweli,ila sa100 hakuwahi kuwaza kuwa Rais so kutegemea mikakati mizuri toka kwake
 
Huyo Jiwe wako ndiye chanzo cha matatizo hapa nchini, kaa kwa kutulia ma usukuma gang wako
 
Haya hapa...
Tatizo la ccm haiamini katika kumwandaa mtu ,swala la kuiga miondoko ya Obama sio Sheria za nchi ,mmeshashauriwa na vyama vingine ingieni barabarani kuonyesha hisia zenu ipatikane katiba mpya. Bila hivyo walaji ndani ya ccm na serikali uliyozungumza Wala hawatasikia mana ameshaandaliwa
 
January Makamba ni akili kubwa sana kuliko watanzania wengi sana. Huyu ndiyo anastahili kupewa urais, siyo hawa akina jiwe na Sa100. Jiwe alikuwa na wazimu, sa100 ni kama haelewi afanye nn.
January huyu huyu ambae alifeli vibaya sana pale Tanesco ndo aje aweze iongoza hii nchi yenye watu 61M? acha kuota mkuu
 
Umekaa unamuombea mwenzako mabaya wakati Hali yake kimaisha ni zaidi Yako mara makumi elfu.

Fanya Yako achana na maisha na ndoto za wengine. Havikusaidii
Huyo si mwenzake bali ni kiongozi wake, hivyo anaruhusiwa kutoa assessment yake. Mpiga kura yeyote anaruhusiwa kufanya hivyo. Ata ccm uwa inafanya utafiti kujua nani anakubarika kwa wananchi.
 
Hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…