Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

Anywe sumu afe,asitutafutie dhambi
 
Wee kipara ngoto acha kauli za kihuni. Watu hawakuamini kwa sababu maalum. Kitendo cha kumsengenya na kumdharau jpm hilo kosa halitakuachia huru. Hatima yako ipo katika kuwaonesha watu unaweza kuaminika kwa kufanya kama jpm. Jambo hili bila shaka ni vigumu kwako kwani kiitikadi umeonyesha sio mtu wa maslahi ya umma ila maslahi binafsi.
 
Mosie nkewakukome newafe wao sa uja ndiye wakimvika.....
 
Makamba nilijua ni mweupe Ila sio kwa kiwango hiki. Kabisa hana majibu zaidi ya kusema Kama wanataka wamuue?
Mawaziri wote wanasemwa, Tamisemi, afya, maji, ujenzi, mambo ya ndani. Kwa nn yeye aone anaonewa?
 
Sitaki kuamini kama waziri katamka neno waniue subiri nirejelee vyanzo rasmi vya taarifa isije ikawa ni hila za mitandaoni.

Ila Kama ni kweli uongozi ni kipaji Mungu asipokujalia huwezi kulazimisha
Hata mimi sikuamini mpaka nilivyosikiliza video. Hii nchi tumerogwa sio bure kama viongozi ndio hawa
 
kwa kauli ya waziri wa nishati january makamba kusema ni upuuzi kuhoji bwawa la umeme kutokamilika kwa wakati hii ni dharau kubwa kwa kamati ya bunge iliyishinda juani na kwenye baridi kali ikikagua mradi huo katika utekelezaji wake! makamba amenena maneno hayo kwa kusema ni upuuzi mtu kuhoji bwawa hilo akiwa mkoa wa geita na watumishi wa tannesco! makamaba kazi za umma hazihitaji hasira watu wakiuliza wajibu kulingana unavyofahamu changamoto ulizonazo katika wizara yako sasa kwa kauli zako hizo watu waliowengi wanaona kama hata ukosee chochote hakuna hatua zozote zitakazochukuliwa
 
Haka ka jamaa kashenzi sana, inamaana huo umeme haufiki Geita ngoja nimtwangie kaka Dr msukuma
 
Wakuu hivi January ni nani mpaka acheleweshe huo mradi? Acheni kumtupia lawama huyo jamaa kama ni kuchelewa kwa mradi basi tatizo lipo ngaz za juu yake
Ujenzi wa bwawa ni jambo la kitaalamu na siyo kisiasa. Wanasiasa hushughulika na sera.
Upuuzi umefanya wasikilizwe na kuaminika wanasiasa badala ya wataalamu.
Wanasiasa wengi ni wajinga fulani wenye ushawishi na madaraka kwa sababu ya upuuzi wa wananchi walio wengi.
 
jamaa kweli ameshangaza umma kuita watu wapuuzi kwa hiyo spika na kundi lake ni wapuuzi aiseee nchi ngumu sana hii
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…