January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..

Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...

heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k

una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?🐒
Yaan ww haujielewi kabisa. Yaan unasifia mtu, ambaye ameshindwa kila kitu. Mwizi, fisadi, mweupe kichwani. Gen wa Tanzania wanajiandaa. Achana na uchawa, hautakusaidia. Hii nchi inahitaji kusaidiwa.
 
Mwanaume mzima kununuliwa smartphone ili uje kumpamba mjinga mwenzio mitandaoni mwisho wake utavalishwa shanga utaliwa.
 
Wewe poyoyo tu wala usitupotezee muda. Kama unaweza kumu admire mtu mchovu aliyetuweka gizani miezi 6, sasa wewe ni wa kukusikiliza kweli.

Sawa na panya anavyomuona paka kuwa amekutana na bonge la mnyama. Wakati bado hajakutana na mbwa, simba, chui, nyati etc

Kama unamkubali Januari peekaboo kwenye familia yenu akawaongoze
kama unawadharau waTanzania na kuwaita majina ya dhihaka hivyo, na chama chako mnaweza kuskizwa na kuchaguliwa viongozi kweli?:BRUHMM:

kuna chama cha siasa mpaka leo kina ugulia athari za dharau, dhihaka na kebehi kwa wananchi kama ambavyo unajaribu kuendeleza hulka na tabia hiyo mbaya isiyo ya kiungwana. bila shaka unaweza kua mwanachama wao.. :pedroP:

muungwana akifika ukomo wa kua na fikra mbadala dhidi ya hoja nzito mezani, anapumzika au anafanya mambo mengine muhimu ya msingi bila kutoa dhihaka kwa wengine,

hata huvyo,
hili ni jukwaa huru, sio lazima ukubaliane na mawazo na mtazamo wangu au wa mwingine juu ya jambo au mambo fulani ya kisiasa, kijamii au kiuchumi...

kwa maoni yangu, kijana waziri January Makamba anafanya kazi nzuri sana pale wizara ya mambo ya nje, anaitendea haki ile wizara:KasugaYeah:
 
Mwanaume mzima kununuliwa smartphone ili uje kumpamba mjinga mwenzio mitandaoni mwisho wake utavalishwa shanga utaliwa.
GENTLEMAN umenishabgaza sana kwakeweli aisee, ni uchovu au moyo wa kukata tamaa?:pedroP:

nawe umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo na fikra mbadala, dhidi ya hoja nzito na ya maana kama hiyo hapo mezani, unaanza kunukuu maneno ya kanga na baadhi ya maneno ya tungo za nymbo za muzik pendwa sana wa Taarabu unaoimbwa zaidi maeneo ya Pwani? aisee dah:pedroP:

hivu hasa kulikoni?
mpaka watu wazima wenye uwezo wao, watu maarufu wenye heshima zao, mpaka wafike mahali waache jambo la msingi kama hilo, na kuleta mihemko, kulikoni?

nimetafakari sana, nimesikitika sana, nimefedheheka sana...
kwa niaba ya waziri mwenyewe, January Makamba na wananchi wa jimbo langu, nimeamua kukusamehe bure, na kukuombea Baraka na Neema za Mungu zitawale mawazo, maneno na matendo yako daima..Aimen

you are free:pedroP:
 
Yaan ww haujielewi kabisa. Yaan unasifia mtu, ambaye ameshindwa kila kitu. Mwizi, fisadi, mweupe kichwani. Gen wa Tanzania wanajiandaa. Achana na uchawa, hautakusaidia. Hii nchi inahitaji kusaidiwa.
sasa gentleman,
si uje kwa utulivu tu useme kwamba labda wewe umeona wizara ya manbo ya nje chini ya January Makamba haifanyi vizuri kwasababu ya hii ile na ile?:pedroP:

sasa wewe umekurupuka tu, kueleza muhemko na ghadhabu zako nje kabisa ya mada, sasa itakusaidia nini:pedroP:
 
kama unawadharau waTanzania na kuwaita majina ya dhihaka hivyo, na chama chako mnaweza kuskizwa na kuchaguliwa viongozi kweli?:BRUHMM:

kuna chama cha siasa mpaka leo kina ugulia athari za dharau, dhihaka na kebehi kwa wananchi kama ambavyo unajaribu kuendeleza hulka na tabia hiyo mbaya isiyo ya kiungwana. bila shaka unaweza kua mwanachama wao.. :pedroP:

muungwana akifika ukomo wa kua na fikra mbadala dhidi ya hoja nzito mezani, anapumzika au anafanya mambo mengine muhimu ya msingi bila kutoa dhihaka kwa wengine,

hata huvyo,
hili ni jukwaa huru, sio lazima ukubaliane na mawazo na mtazamo wangu au wa mwingine juu ya jambo au mambo fulani ya kisiasa, kijamii au kiuchumi...

kwa maoni yangu, kijana waziri January Makamba anafanya kazi nzuri sana pale wizara ya mambo ya nje, anaitendea haki ile wizara:KasugaYeah:
Kwani Mambo ya nje kuna ugumu gani? Ni nani unadhani amewahi kushindwa kufanya kazi ya kupokea wageni?
 
wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba..

Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani mathalani kwenye masula ya amani, Elimu , chakula, afya, hali ya hewa, uwekezaji, utalii, uchumi, nishati, viwanda n.k, na kijana huyu amemuwakilisha Rais Dr Samia Suluhu Hassan vizuri sana, pale ambao yeye binafsi anapokua ametingwa na majukumu mengine mazito ya urais ya kitaifa au kimataifa...

heshima na ushawishi wa Tanzania kimataifa ni wa kiwango cha juu sana hivi sasa. na matokeo yake fursa za masomo na ufadhili wa masomo nje ya nchi umeongezeka sana katika nyanja za sayansi, na teknolojia, ajira za walimu wa kiswahili na afya nje ya nchi, biashara, kumiminika kwa watalii na wawekezaji wa nje n.k

una shauri Mh.January Makamba waziri wa mambo ya nje ya nchi, aongeze juhudi zaidi eneo gani la kisiasa, kijamii au kiuchumi ili Tanzania iendelee kunufaika, kuaminika na kuheshimika zaidi duniani?🐒
Wacha siasa wewe hawa ndio majipu yanayo msumbua mama kila kukicha
 
Kwani Mambo ya nje kuna ugumu gani? Ni nani unadhani amewahi kushindwa kufanya kazi ya kupokea wageni?
atakae weza kufanya zaidi ya anachofanya waziri January Makamba, pale mambo ya nje na kuipaisha Tanzania katika uso wa dunia kiasi hiki nadhan hajazaliwa bado, tuwe wangwana tu, jamaa anapiga kazi bana :pedroP:
 
mambo yanabadilika gentleman,
binafsi naweza tu kumuelezea Mh. January Makamba wa sasa, waziri wa mambo ya nje, kwa namna anavyo ipaisha Tanazania duniani kiuchumi, kisiasa na kijamii,

hayo mengine huenda sina ufahamu nayo, na ni vizuri ukayaandikia uzi kamili wa pekeyake ili tuone kipi ni kipi:BASED:
Kama hujui nyamaza. Kafanye utafiti
 
Wacha siasa wewe hawa ndio majipu yanayo msumbua mama kila kukicha
siasa si ni pamoja na kueleza ukweli kinagaubaga?

na tabia ya ukweli kwa wengine huwa ni mchungu na haupendwi kabisa kuskika. na wanaweza kuporomosha matusi mazito wakiona ukweli:pedroP:
 
Amefit sana na sijui kwa nini baba yake JK hakumchagua Foreign affairs siku nyingi ili awe mbobezi.
Tatizo la makamba ana ego na overconfidence na hii ilisababisha yeye na mbarawa kukwaruzana sana kipindi wako science and technology.
Mi nadhani CCM ijifunze yanayotokea duniani watu hawapendi hawa watu wanaoritjisgwa mamlaka. Yaani baba alikiwa katibu mkuu basi mtoto lazima aje awe waziri. This iritates wananchi na sisi sio kisiwa tujifunze kwa wenzetu.
Na amini kwa haya yanayotokea Africa na duniani huko Lebabon, Tunisia, Argentina mama ajitahidi 2026 atupe katiba mpya ile ya warioba maana hakuna siri yake kenya wanayoyapigia kelele na tanzania watu wanatamani yatokee
 
Kama hujui nyamaza. Kafanye utafiti
sasa badala utoe fikra na mawazo mbdala unaleta ujuaji ulouficha moyoni:pedroP:

kuna haja gani ya utafiti kwenye mambo ya wazi na bayana kama haya gentleman?

si ni kupoteza rasilimali muda na fedha huko.....
 
siasa si ni pamoja na kueleza ukweli kinagaubaga?

na tabia ya ukweli kwa wengine huwa ni mchungu na haupendwi kabisa kuskika. na wanaweza kuporomosha matusi mazito wakiona ukweli:pedroP:
Makamba ni jipu kabisa rais atakaye kuja kama sio mama hawezi kwenda na makamba kwenye cabnet
 
huko siwezi kuzungumzia sana, lakimi pia nadhani utashi, hekima na busara za Rais mteule wa wakati huo, ataona na kuamua mwenyewe ikiwa anafaa ama laa kuendelea kuitumikia wizara...

ila kwasasa kwa maoni yangu,
ndugu January Makamba, waziri anafanya kazi nzuri sana pale wizarani sasahivi:KasugaYeah:
 
Sijachanganya maada Nasema wewe kipara pamoja na bumanda Hamfai Kwa lolote.

Kuna watu hata ukiweka kukusanya Hela kwenye choo Cha soko/ stend Bado watapwaya tu

Kipara na bumanda
lakini hebu elezea kidogo mambo yalivyo murua pale wizara ya mambo ya nje, ila ikiwa tu una fahamu kidogo jambo hilo, achilia mbali yale ya kubebabeba:pedroP:
 
Back
Top Bottom