kama unawadharau waTanzania na kuwaita majina ya dhihaka hivyo, na chama chako mnaweza kuskizwa na kuchaguliwa viongozi kweli?
kuna chama cha siasa mpaka leo kina ugulia athari za dharau, dhihaka na kebehi kwa wananchi kama ambavyo unajaribu kuendeleza hulka na tabia hiyo mbaya isiyo ya kiungwana. bila shaka unaweza kua mwanachama wao..
muungwana akifika ukomo wa kua na fikra mbadala dhidi ya hoja nzito mezani, anapumzika au anafanya mambo mengine muhimu ya msingi bila kutoa dhihaka kwa wengine,
hata huvyo,
hili ni jukwaa huru, sio lazima ukubaliane na mawazo na mtazamo wangu au wa mwingine juu ya jambo au mambo fulani ya kisiasa, kijamii au kiuchumi...
kwa maoni yangu, kijana waziri January Makamba anafanya kazi nzuri sana pale wizara ya mambo ya nje, anaitendea haki ile wizara