Mamako anakopa hatari, umesahau Supika mstaafu alisema nchi itapigwa mnada🤣Mtu alishindwa kutoa Ajira,mikopo,mishahara ,madawati ,posho huku akisingizia miradi 🤣🤣
Mbona vyote vinafanyika Sasa na mama bila excuses? Na kaongeza mabilioni ya Bajeti Wizara zote at par