January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

January Makamba: Bwawa la Nyerere limebakiza Mita 2 za Ujazo ili kuwa na uwezo wa kuzalisha Umeme

Mtu alishindwa kutoa Ajira,mikopo,mishahara ,madawati ,posho huku akisingizia miradi 🤣🤣

Mbona vyote vinafanyika Sasa na mama bila excuses? Na kaongeza mabilioni ya Bajeti Wizara zote at par
Mamako anakopa hatari, umesahau Supika mstaafu alisema nchi itapigwa mnada🤣
 
Sigawi kazi,katafute fursa kitaa saizi ukianza hata biashara Kuna uafadhari kuliko awamu ya 5.

Mwisho Sasa Kwa nini Mwendazake hakukupa kazi? 🤣🤣🤣🤣
kipindi cha mwendazake nilikuwa natembea hadi na 10 million kwenye gari za kula bata tu na matoto makali, ila sasa hivi nipo humu JF kugombania gori
 
Wakate tena umeme tuone, tunataka tuone unafuu wa umeme kupitia bwawa letu. Tunataka kutoka mazingira kuacha kutumia kuni kwa umeme nafuu, tunataka kuepuka miradi ya gesi ya watu kwa kutumia umeme wa Taifa. Chonde waziri wa fedha umeme utumike kama huduma ya lazima na sii chanzo Cha kodi
Kukatika Kwa umeme hakutokani na kutokuwa na umeme Bali umeme mdogo na uchakavu wa Mitambo ndio maana wameanza kutekeleza mradi wanaita wa ujazilizaji kwenye grid yaani grid densification and stabilisation so it won't happen over knight
 
Mamako anakopa hatari, umesahau Supika mstaafu alisema nchi itapigwa mnada🤣
Unadhani kila.kila kima anakopeahwa? Kakope na wewe kama ni simple.
By the way ukikopa unapata pesa ya kutekeleza miradi chap inaanza kuzalisha unalipa Madeni sio kusubiria watu wauze nyanya ukawachaji hela ya kitambulosho Cha maachinga,huo ni ujinga.
 
Back
Top Bottom