Pre GE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

Pre GE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee sokwe sio makamu wa rais😀😀maana mawazo ya wengi ni labda litokee tukio kama la 2021.....bimkubwa alijua hilo mapema ndo maana ile nafasi safari hii kamvuta Mngoni,,,,,kwa wale wanaotegemea embe lidondokee kwenye mchongoma wanaweza wakapata suprise.........ile team ya wakina wazuri hawafi baada ya kuchomolewa watu wao January na wenzake wakae vizuri,,......mambo ndo kwanza yanaanza
inavyonekana humo CCM vita ya wenyewe Kwa wenyewe ni kubwa sana kuliko hata vita ya CCM VS CHADEMA...au hisia zangu haziko sahihi mkuu?
 
Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri
Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
Hivi makamba ameshakuwa mkuu hata wa kitongoji kweli. Anataka kuendesha baisketi wakati hata ngorogojo hajaendesha
 
inavyonekana humo CCM vita ya wenyewe Kwa wenyewe ni kubwa sana kuliko hata vita ya CCM VS CHADEMA...au hisia zangu haziko sahihi mkuu?
Nyerere hakukosea alivyosema upinzani wa kweli utatokea CCM.......
 
Tuache haya mazowea ya ukiisha Uchaguzi huu tunafikiria Uchaguzi unaofuata !
Ni aje kupatikana Mwamba mmoja huko mbele ya safari aje akae madarakani hata miaka 30 na kuendelea hakuna Uchaguzi wa Rais ili tuone Nchi itakuwaje !
Hii kila mtu anauota URais mimi naona haijakaa sawa kabisa !
Hii tuwaachie Wamarekani wao wanaimudu hiyo system !

Sisi bado sana !
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom