Pre GE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

Pre GE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Safari hii kete zimebadilika wakifanya mzaha watafanyiwa wepesi kwa alievutwa kua makamu.......huyo ni body guard wa namna yake.......watu warushe makombora kwa tahadhari
Unamzungumzia mzee Sokwe
 
Unamzungumzia mzee Sokwe
Mzee sokwe sio makamu wa rais😀😀maana mawazo ya wengi ni labda litokee tukio kama la 2021.....bimkubwa alijua hilo mapema ndo maana ile nafasi safari hii kamvuta Mngoni,,,,,kwa wale wanaotegemea embe lidondokee kwenye mchongoma wanaweza wakapata suprise.........ile team ya wakina wazuri hawafi baada ya kuchomolewa watu wao January na wenzake wakae vizuri,,......mambo ndo kwanza yanaanza
 
Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri
Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
Kipimo chake cha uadilifu kilikuwa Wizara ya nishati na akatuonesha rangi yake halisi, ambapo hafai hata kwa kulumangila.

Huwa sielewi sababu ya kuendeleza mada za huyo mchumia tumbo wenu, kwani hakuna waTz wengine wenye sifa?

Aliyotutendea waTz kutuweka guzani kwa manufaa binafsi, labda asubiri 2050, hapo kizazi chetu kitakuwa kilikwishapita, ama kupungua sana na kusahau adha zake kwa ajili ya uzee.
Lakini mkimleta 2030, hauziki.
 
Yaani Njanuary ije kuwa rais..?! basi bora wote tuuane kwa mapanga kuliko Njaanuary ituongoze...
 
Tuache haya mazowea ya ukiisha Uchaguzi huu tunafikiria Uchaguzi unaofuata !
Ni aje kupatikana Mwamba mmoja huko mbele ya safari aje akae madarakani hata miaka 30 na kuendelea hakuna Uchaguzi wa Rais ili tuone Nchi itakuwaje !
Hii kila mtu anauota URais mimi naona haijakaa sawa kabisa !
Hii tuwaachie Wamarekani wao wanaimudu hiyo system !

Sisi bado sana !
 
Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri
Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
Ushamshauri mwenzako aingize mtaji kwenye biashara itakayo mpiga.
Atakuwa ni Nchimbi tu.
Kwani hujui huwa kuna kupokezana kidini
 
Na kwanini atafute urais kwa udi na uvumba anatafuta nn huko. Tuwe na Rais km January? Ukimwangalia tu ni jizi, mnataka auze nchi? Muwe serious!
Najua hawezi kuwa mfumo hauku mkubali , japo inawe kuwa vinginevyo.
 
Kipimo chake cha uadilifu kilikuwa Wizara ya nishati na akatuonesha rangi yake halisi, ambapo hafai hata kwa kulumangila.

Huwa sielewi sababu ya kuendeleza mada za huyo mchumia tumbo wenu, kwani hakuna waTz wengine wenye sifa?

Aliyotutendea waTz kutuweka guzani kwa manufaa binafsi, labda asubiri 2050, hapo kizazi chetu kitakuwa kilikwishapita, ama kupungua sana na kusahau adha zake kwa ajili ya uzee.
Lakini mkimleta 2030, hauziki.
Mkuu Sakasaka Mao umepigaje hapo?? Hatuwezi kuwa na Rais mwenye historia ya ku-cheat mitihani ya O-level Galanos
 
Back
Top Bottom