Pre GE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri
Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
Jamaa ilikua safari hii ndo watusue ,,,,na wwmeshindwa kwahio imeshatoka hio.....2030 kuna watu ambao tayari watakua kwenye mfumo watakua wamejijenga........yeye asipoingia kwenye mfumo lazima apotee....nafasi yake ilikua sasa kipindi alichokua kwenye mfumo ila bahati kaichezea alikua na papara sana hajui kula na kipofu
 
Eti baba yake yupo
 
Kwa tatizo pale tanesco Kuna bilioni 70 zilitumika kukodi software from India ambayo huwa inafuatilia umeme umekatika wapi ,ili mhe ajue ili awaulize wahusika wa eneo Hilo, why umeme umekatika
 
Back
Top Bottom