Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda awe mgombea mwenza kisha litokee!Kuna nyakati pia mkuu
Ameasisi nini yule mzee!Apewe tu ni mtoto wa Muasisi wa Taifa
Hatuwezi kupingana na mfumo 😅😅Kumbe ni mtoto wa mwasisi
Hii nchi na watu wake mmejichokea kama Nini... Haya mpeni huo urasi hata mwaka huu ikifika OctoberApewe tu 😅
Mimi naona apewe tu ili nishati safi ikueHii nchi na watu wake mmejichokea kama Nini... Haya mpeni huo urasi hata mwaka huu ikifika October
Kamuulize Lowasa. Urais sio tamaa kama unavyofikiria. To outshine the system lazima uwe vizur sanaNdio Tanzania ,kama watoto unawandaa kuwa walimu utajijua
Kama mtu anaweza kushirikiana na walanguzi WA majenereta kutengeneza tatizo la umeme Kwa kuleta mauza uza pale TANESCO hili watu wafanye biashara, atashindwa Nini kuhujumu mashirika kama ATC, TRC,NHC na mengine ya umma hili tu yashindwe kutoa huduma Kwa ufanisi na hatimae tuanze kuwategemea watu binafsi(ambao ni syndicate yake)kutupa huduma pale atakapokuwa raisi???Kama watanzania WALIO wengi ni wajinga, kwann asiwe? Ni nani mwenye ujasili wa kusema hadharani, ukimtoa lisu na walioba wa kukemea uchafu
Alifanya Nini kwenye hiyo nishati safi hivi karibuni alipokuwa amekabidhiwa wizara?Mimi naona apewe tu ili nishati safi ikue
Yeye anaonekana kabisa ni presidential material na hata ikulu aliishi kablaMfumo wa siasa za Tanzania upo hivyo, mbona mwinyi hamkusema?
Maovu mauvinaa-(Mabaga ft Sir Nature-Mtulize)Siasa siasani
Miaka mitano 2025/2030 tutapigwa mbele na nyuma kwa staili zote.Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri
Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.