Pre GE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri
Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
Akimaliza kazi yake baada ya uchaguzi atarudi kwenye baraza.
 
Tunataka hata kubadili vipengele vya Katiba ili kuondoa ukomo wa urais kama ilivyo Katiba ya Chadema,tupige surprise ya aina hiyo hiyo.
 
In

Inawezekana tu mkuu, kwa sbb Tanzania wengi ni wajinga
 
Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri
Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
Kila la kheri kwa bwana February. Aje awe Rais wa TFF baada ya Karia.
Au ahamie Rwanda, akachukue urais baada ya PaKa
 
Kwa mwelekeo huo ipo siku
1737305187397.png

watashika hatamu
 
Back
Top Bottom