Alikuwa na papara sana, alitumia muda Mwingi kufuta legacy ya mwendazake kuliko kufanya majukumu aliyopaswa kufanya akiwa kama waziriJamaa ilikua safari hii ndo watusue ,,,,na wwmeshindwa kwahio imeshatoka hio.....2030 kuna watu ambao tayari watakua kwenye mfumo watakua wamejijenga........yeye asipoingia kwenye mfumo lazima apotee....nafasi yake ilikua sasa kipindi alichokua kwenye mfumo ila bahati kaichezea alikua na papara sana hajui kula na kipofu