Mzee sokwe sio makamu wa rais😀😀maana mawazo ya wengi ni labda litokee tukio kama la 2021.....bimkubwa alijua hilo mapema ndo maana ile nafasi safari hii kamvuta Mngoni,,,,,kwa wale wanaotegemea embe lidondokee kwenye mchongoma wanaweza wakapata suprise.........ile team ya wakina wazuri hawafi baada ya kuchomolewa watu wao January na wenzake wakae vizuri,,......mambo ndo kwanza yanaanza