January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

Hivi hakuna mbunge hata mmoja alimuuliza kuhusu hilo? Maanake point yake kuu ni kwamba mafuta yamepanda bei kwasababu sisi hatuyazalishi; what about Zanzibar? Nauliza, je hakuna mbunge hata mmoja asie jua hilo pamajo na hili unalo uliza wewe hapa? Maanake it sound like huku nje ya bunge wananchi hatumuelewi Gadiola na hayo majibu yake, tunajua kua mafuta kwenye soko la dunia yamepanda, tunajua na sababu ni nini lakini wananchi tunajua serikali inaweza kufanya kitu, kwa maneno mengine hakubaliani na majibu ya waziri!
 
Uongozi ni kipawa MTU Anapewa na Mungu kama huna kipawa hicho huwezi kuwajali wale unao waongoza. Utatafuta sababu kukwepa wajibu wako kama kiongozi.

SERIKALI ni kama baba na wananchi ni Watoto kwa SERIKALI.

Sasa pale baba Anapo kwepa majukumu Yake ya kuwasaidia Watoto wake panapotokea majanga basi Ubaba wake lazima utiliwe mashaka.

Katika jambo Hili na Kuziba maskio kwa SERIKALI na uhakika itaigharimu sana kwenye sanduku la kura.
 
Kwanini Zanzibar bei ya mafuta ipo chini kuliko bei ya huku bara!?.

Au, Zanzibar wanazalisha mafuta.

January, unakipara kama helmet.
 
Hahaha kwa iyo we ndo amekutuma kama unaakili ee iv hadi sasa oyu jamaa yako anajua hatujui kuwa nchi yetu aidhalishi mafuta
Watu wanahoji iweje kama kiongozi wa sector anakuja na ngojela badala ya suluhisho au we umeona chochote cha kutatua tatizo alichokisema
CHUKI imewatia upofu wa kufikiria.
 
Kiukweli hakuna jitihada za makusudi za kupunguza gharama za mafuta ili vitu visipande bei ,wadau nendeni kenya mwone alichofanya kenyata kupunguza makali ya upandaji bei ya mafuta ili vitu visipande bei/aliidhinisha mabilioni ya hela kuyapa makampuni ya mafuta ili bei isipande na alifanikisha hilo jambo
 
Na mpaka sasa wakenya hawalalamiki kama sisi
 
Diakteta wako akikuachia kovu kubwa sana na litakutesa hadi unaingia kaburini!

Una stress nae kiasi kwamba hujawahi acha kumtaja kwenye hoja yeyote ile.

Sikuwahi kujua kama dikteta wako kakuachia stress kiasi hiki!

Sukuma gang kaa kwa kutulia wakati dhalimu tunampa ukweli wake. Shetani anatakiwa atajwe kila mara.
 
Una uhakika na unachoongea?
 
Watanzania tupiganie katiba mpya tuuu ndio suluhisho la la haya yote
 
Moja ya Mawaziri machachari kabisa asie na chale hata moja makalioni anaiamini elimu yake.

Sie mwengine ni Mgosi wa Milimani Usambara.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani ile ishu ya kukataza mifuko ilimpa Credit sana ila daah jamaa mweupe sanaa kichwani
Hamna kitu kabisa ile njemba
 
Hiyo ndio maana halisi ya uongozi, kuwa na maono, kuona mbele na kujipanga namna ya kukikabili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…